how to unlock phone

mpangwa1

JF-Expert Member
Jul 19, 2009
278
8
Nimeletewa simu (nokia 6303) na jamaa yangu toka UK iko locked kwenye mtandao wa t-mobile nimejaribu mafundi kadha hapa Dar wanambia hawajui code yake. Msaada jamani wapi naweza kuifungua.
 
Site nyingine ni
http://www.unlock.it/nokia
http://www.lur.nu

CAUTION
Maximum trial za ku unlock simu za Nokia kwa code ni 5. ukijaribu unsucessful simu inakuwa hard locked. Ikiwa hivyo then unlocking ni mpaka ifanyike kwa DATA cable kwenye kwa mafundi. kwa kuwa nokia ni band kubwa hata dar wamejaa so ni vizuri kujaribu free.
 
jaribu kuingiza hizi five digit 12345, simu nyingi za nokia zinakuwa unblocked na hizo namba
 
Wakuu na ku-unlock datacard je? Zile internet modems kama za voda, zain, nk ili niweze kutumia kwa mitandao yote.
 
Nimeletewa simu (nokia 6303) na jamaa yangu toka UK iko locked kwenye mtandao wa t-mobile nimejaribu mafundi kadha hapa Dar wanambia hawajui code yake. Msaada jamani wapi naweza kuifungua.

mkuu cm inafunguka kabisa hao ulokutana nao uenda awajui walifanyalo kama ni new generation sl3 itakuwa gharama zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom