how to unlock iphone 3gs..???

Skillseeker

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
225
34
habari za kwenu wanaJF. Naomba mnisaidie kunielimisha niweze kuelewa jinsi ya kuunlock simu za iphone hasa hasa iphone 3gs kwakuwa hiyo ndo ambayo mimi ninayo na nashindwa kuitumia sababu ipo locked..
natanguliza shukrani kwa msaada wenu..
 
kama mtu huna cha kujibu bora ukae kimya..habari ya kuconclude usichokijua sio poa..usiandike mradi umeandika uonekane unapos nyingi..andika kwa lengo la kusaidia na kujifunza...
 
habari za kwenu wanaJF. Naomba mnisaidie kunielimisha niweze kuelewa jinsi ya kuunlock simu za iphone hasa hasa iphone 3gs kwakuwa hiyo ndo ambayo mimi ninayo na nashindwa kuitumia sababu ipo locked..
natanguliza shukrani kwa msaada wenu..

Hi urahisi unaweza kufungua iphone3gs yako kwa kutumia kijijini kufungua njia. Kama unahitaji kurejelewa kijijini huduma ziara hii Unlocking4u.com tovuti hapa unaweza kupata huduma na kufungua iphone3gs yako kwa urahisi.

Hi you can easily unlock your iphone3gs by using remote unlock method. If you need remote unlocking service visit this site Unlocking4u.com here you can get the service and unlock your iphone3gs easily.
 
nenda settings - general- about phone:
taja software version
modem firmware version
then ...twendelee:)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom