How to UNLOCK Encrypt Tv Channel kwenye Dish via Media Com Receivers!

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Ninatumia reciver ya media com 910 kupitia LNB ya C Band ya juu inakopatina ALJAZEERA nimeweza kupata channel za ziada na signal zake ziko full kuanzia signal 50% hadi 98% lakini zinatoa message kwamba ziko encrypted(encrtypt progm) mfano ni pamoja na MGM,Sport,BBC Word,Net GEO,Ten sport nk

sasa naomba kujua kuna nama ninavyoweza kuzifungua kwenye dish la ft 6?

nitashukuru
 
Back
Top Bottom