Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,068
Hello wanajamii,
Nimetumiwa blackberry bold 9870 T-Mobile toka US, aliyenitumia ameniambia imeshakuwa unlocked, lakini sipati services zozote nikiweka line yangu ya Vodacom. Nimeenda Vodacom wakasema iko locked kwa T-Mobile services. Nimeenda Sapna wanisaidie ku-unlock wanaleta longo longo nyiingi na wana tuhuma za kukwapua spare toka kwenye simu za watu hivyo sikuweza kuiacha pale waichezee.
Kama kuna mwanajamvi mwenye ujuzi huo au anamfahamu mtu wa kuaminika mwenye ujuzi huo anisadie.