How to un hide documents in flash

Mikanjuni

Member
Jan 27, 2012
59
14
Kila nikiweka hdd,flash kwenye pc yangu in hide some documents,nifanyaje kuondoa tatizo hili.thanks:a s 465:
 
hilo hasa inatokana na virus kwenye system yako just clean it n everything i,ll be back 2 biznes,na kuna njia ya recover hidden files kwenye flash,hdd etc
 
Km unatumia xp, start>ctr panel>folder option>view>show hidden file>apply then ok. Km ni OS nyingine useme.
 
Kila nikiweka hdd,flash kwenye pc yangu in hide some documents,nifanyaje kuondoa tatizo hili.thanks:a s 465:
inabidi uingie kwenye dos command then kwenye directory ya hiyo flash yako andika "attrib-a(space)-s(space)-h(space) jina la folder unalotaka lionekane then click ENTER, rudi kwenye flash yako ifungue, kopy files zote kisha ui-format maana itakuwa na virus
 
another option nenda kwenye DOS then iweke drive ya io flash kama ni I: au F: then mbele yake type F:dir/a
 
Back
Top Bottom