mwanatanu
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 851
- 127
Ndugu zangu wa JF na wa TZ kwa ujumla, tumeliwa kwenye viwanda vyetu alivyotujengea baba wa taifa JKN. Tumeibiwa katika rasilimali yetu ya dhahabu tunaendelea kuibiwa na rasilimali yetu ya bandari.
Sasa Mwenyezi Mungu katuletea natural gas ambayo wana wa vyuoni na akina IMF wanadai huwenda tukazidi hata Qatar.
Changa moto tunafanyaje kuhakikisha manufaa yanabaki kwetu?
Sasa Mwenyezi Mungu katuletea natural gas ambayo wana wa vyuoni na akina IMF wanadai huwenda tukazidi hata Qatar.
Changa moto tunafanyaje kuhakikisha manufaa yanabaki kwetu?