Kwanza swali la kwanza kujiuliza kuna Music Management ngapi bongo..
Music bongo ni pasua kichwa sana since uuzwaji wake ni wa kubabaisha....
Kukushauri usifanye na music Management bongo since wako matapeli kibao wanao run hizo management
Mkubwa fella
Chief kiumbe
Ustazi juma
Adam juma
N.k
Cha msingi njoo na Distribution business ya music iwe tofauti na iendane na technolojia take an example push mobile...
Something like that...
Ngoja nikanywe kahawa nitarudi..
mkuu C.T.U nadhani hauhitaji kumkatisha tamaa jamaa may b anaweza kuja na mapinduzi ya music management industry in tanzania...ila pia ningemshauri kabla ya yote ajue wahusika wake katika biashara hiyo anayotaka kuanza
1- wanamuziki wa bongo flava -- hawa 99% shule hawana na kama wamesoma mwisho ni form 4 na wamefail wakakimbilia kufanya mziki kwa kutumia vipaji na bila elimu ya mziki
2- bongoflava 90% ni wavutaji na watumiaji wa madawa ya kulevya hasa bangi na unga...achilia mbali ulevi wao mpya wa kulewa sifa za kijinga
3- wanamziki wa bend-- hawa 90% with exclussion ya wazee na bendi kongwe hawa ni watu wa kuhamahama kama wafugaji wa kimasai...bendi haijapata jina nusu ya wanamziki weshahama tena bila sababu ili wauze magazeti.
4- wanamuziki wa taarabu-- huku ni majungu, uchawi na uswahili usiokuwa na tija...mtu anaweza asije kwenye shughuli ya bendi kisa kuna maulidi kwa jirani.
kwa uelewa wa hayo machache yanayorudisha nyuma biashara ya mziki wa tzania nadhani aanze na suala la ELIMU NA SOMO LA KUJITAMBUA KWA WANAMUZIKI WETU...awafundishe "super-stardom management and self understanding"..mwanamziki hata kumuuza kwenye tangazo la biashara watu wanaogopa kumnunua coz kesho asubuhi atatoke kwenye gazeti katiwa pigu kwa kosa la kukutwa kijiweni anavuta bhange..
ndioo.. mfano 20% alichukuwa awards 5 lakini wiki iliyofuata alikuwa mahakamani anakesi ya kuvuta bange...ni kampuni gani itakupa udhamini kwa mtu kama huyo anaye-tarnish image yake na yao.
Hawa jamaa kina Ustazi juma nafikiri pesa wanapata kwenye mapato ya wasanii kwenye shows. Etc
But mimi nilikuwa najaribu kukushauri tu katika Music industry you can be as Distributor na ukatengeneza pesa nzuri kuliko management ...
hello guys,
naomba mwenye kujua jinsi ya kuanzisha MUSIC/ARTIST MANAGEMENT COMPANY kwa hapa Bongo anielekeze, na nimtaji wa shillingi ngapi naweza kuanzishia hiyo company..
thanks in advance
[/B]
Kaka upo sahihi lakini pia unajuwa hii distribution line needs a lot of capital to start...inawezekana mshkaji hana that financial capital ndio maana anataka kuingilia kwenye management..just his skills na kwenda kasi kwa wadhamini...(PR CAPITAL)
hapo mkuu kwenye red.... any ellaboration is welcome.1. sajili kampuni kwanza, llimited company ni bora,
2. pata leseni za biashara
3. pata TIN number
4. sajili BASATA (baraza la sanaa la Taifa)
5. sajili COSOTA
6. sajili GS 1 barcode au ISSN number, ISMP
7. juunge na ASCAP ya USA
kwa ushauri zaidi nnapatikana 0655 308308
hello guys,
naomba mwenye kujua jinsi ya kuanzisha MUSIC/ARTIST MANAGEMENT COMPANY kwa hapa Bongo anielekeze, na nimtaji wa shillingi ngapi naweza kuanzishia hiyo company..
thanks in advance
hata hakuna mtu amajibu swali hata moja, mi pia nna idea hiyo so.....
ndugu vena...sio kila swali linaloulizwa linatakiwa kujibiwa straight...kwa umri na uelewa wetu hatutarajii maswali kama 0-1 tukupatie jibu la haiwezekani... Lazma tujiulize kwann tumeulizwa maswali mepesi au tunapimwa akili??
Swali la mdau linahitaji majibu zaidi ya nenda brela sajili kampun mara cosota mara basata and the rest of things... Majibu ya maswali yake ni pamoja na kuelewa uelewa wa muhusika katika platform anayotaka kufanya kazi...kwa aina ya wasanii wetu un aweza kuwaandalia shoo kisha wasije ku-perfom je hizo gharama si ndio hasara yenyewe...na hata ukimpeleka mahakamani bado utatumia gharama za kumshtaki mpuuzi mmoja akulipe fidia ya tsh 100m wakati yeye hana hata tsh 100..hiyo biashara masihara.
Hata angekuwa na tsh 1bilion kama hawaelewi wasanii na watumiaji wa bidhaa yake basi ajiandae kuliwa yote na kuanza zerooo....ni maoni tuu.