How to speed up utorrent client

babumufty

JF-Expert Member
Dec 26, 2011
223
77
Jamani kwa anaye jua jinsi ya kuongeza speed kwenye torrent client naomba atusaidie
 
Jamani kwa anaye jua jinsi ya kuongeza speed kwenye torrent client naomba atusaidie

Kila ukidownload kwa torrent click properties then copy wale tracker, kama mimi ninao tracker zaid ya 100 au unaweza wagoogle hao tracker utawapata wengi.

Ukishapata tracker ukiwa unadownload jaribu kupaste hao tracker then inaweza ongeza speed japo si 100 % true. Hii inasaidia kama same file limekua uploaded web nyengine ya torrent
 
Jamani kwa anaye jua jinsi ya kuongeza speed kwenye torrent client naomba atusaidie
Mkuu pamoja na maelezo mazuri ya chief mkwawa.... just google hiyo title yako, utapata maelezo kibao pamoja na youtube video za kueleza namna ya kufanya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom