How to seduce a woman in 5 minutes..

Rev Masa & Kashaijabutege (hili jina ni la Ichwandimi)!

Nimewakubali: Kama baada ya dakika tano mnaondoka na mzigo siwezi kuwakaribisha mtaani kwangu huku Gongo La Mboto maana itakuwa hatari! DK 5 done!???
 
Simpendi mwanaume unayetanguliza ngono wakati unatongoza.
Mwanamke anayejiheshimu akiona upo kingono zaidi atakuwa anakukwepa.
Habari ya babu anamtaka bibi.....mmmh,
 
umesaidia wengi, ofu na woga kwa baadhi ya wanaume wasio jua namna ya kutongoza nasema umewaponya. unajua hii ni dawa kwa wote wasiojua kutongoza maana utamkuta mtu jasho linamtoka aonapo binti wa kike juu ya ofu. please kama unaingine waongezee hii si zambi, bali zambi ni kitendo tongoza uoe mpaka ushikiwe miguu?
 
Rev Masa & Kashaijabutege (hili jina ni la Ichwandimi)!

Nimewakubali: Kama baada ya dakika tano mnaondoka na mzigo siwezi kuwakaribisha mtaani kwangu huku Gongo La Mboto maana itakuwa hatari! DK 5 done!???

Gonga thanks tafadhali
 
Rev Masa & Kashaijabutege (hili jina ni la Ichwandimi)!

Nimewakubali: Kama baada ya dakika tano mnaondoka na mzigo siwezi kuwakaribisha mtaani kwangu huku Gongo La Mboto maana itakuwa hatari! DK 5 done!???

Umekosea kidogo, natoka Nyakalaula. Dakika tano nyingi sana. Mie kitendo cha yeye kuitikia salamu yangu, kwisha kazi yake.
 
what a rubish, anoavyo nafsini mwake ndivyo alivyo! hivi wewe unawaza tuu sex? huna mchango mzuri wa mmawazo namna ya kututoa watnzania kwenye umaskini? unatuambia namna ya kutongoza? umekufa, a walking corpse! sorry for such strong language!!!

Haya nayo ni maendeleo. Kitendo chako kuacha forums nyingine na kufungua hii, ni ushuhuda kuwa majamboz haya ni priority kwako. Halafu kumtukana mwenzio kwa kingereza haumii sana. Mie nitukane kwa kiswahili.
 
Rev Masanilo, hebu nambie hilo kanisa lako unaliendeshaje iwapo mwamini wa kike anakuja apate mashauri ya ndoa kwako??? dk 5 ushamalizana naye kumshauri kivitendo lol!!!

But mie huwa sijui natongozaje lakini dem nikiwa naye alone ujue ashachezea finga na mavitu mengine anabakia kuneng'eneka tu
 
watu mna mambo hakuna mwanamke wa hivyo ila ukimpata kwa stahili hiyo ujue na yeye alikua anakulia timing sku nyingi so arembe achekwe?
 
watu mna mambo hakuna mwanamke wa hivyo ila ukimpata kwa stahili hiyo ujue na yeye alikua anakulia timing sku nyingi so arembe achekwe?

Mie wote hawachukui dakika tano. Ina maana wote huwa natongoza walionilia timing? Dada nisaidie katika hili.
 
Kwenye RED hapo , muhakikishie kuwa utampa MOYO wako wote, wewe utatumia FIGO kupampu damu.

Mbona mnatunyanyapaa hivyo wenzenu? na kwa taarifa yenu tumeshawagundua kuwa mnaongeaga impossibles, so tunawacheki tu mnavyoshusha mauongo yenu
 
Kwenye RED hapo , muhakikishie kuwa utampa MOYO wako wote, wewe utatumia FIGO kupampu damu.
Hahahahahahahhahahah kiheerehere bana. Ila bora hii kuliko hiyo ya kuahidi kuwa naye milele maana mara nyingi inasababisha zile kesi kama aliyoileta sijui nani yule..............kuwa jamaa kasepa after kubanjua then dada akaamua kujenga uadui.

Usiijaribu kwangu..... utasign contract ati. Yaani unambie tu kwa mdomo kuwa utakuwa nami milele afu nikuamini?.....Ntakushikaje shati??
 
Simpendi mwanaume unayetanguliza ngono wakati unatongoza.
Mwanamke anayejiheshimu akiona upo kingono zaidi atakuwa anakukwepa.
Habari ya babu anamtaka bibi.....mmmh,

Kwa hiyo huwapendi wanaume wote?

Hakuna mwanaume anatongoza bila picha ya dudu kichwani mwake? Kama yupo anyooshe mkono tumuone!
 
hivi kwa hali ilivyo leo kuna hata haja ya wanaume kufundishana jinsi ya kumseduce mwanamke!maana wanawake wenyewe wa kileo wanajiseducisha.kaazi kwei kwei.

Hiyo nayo point kwelikweli. I mean nowadays it's the otherway round!
 
watu mna mambo hakuna mwanamke wa hivyo ila ukimpata kwa stahili hiyo ujue na yeye alikua anakulia timing sku nyingi so arembe achekwe?

Nadhani uko sahihi Maty.

Dakika tano hazitoshi hata kuchemsha yai sembuse kumlainisha mdada aliyetulia?
 
Hahahahahahahhahahah kiheerehere bana. Ila bora hii kuliko hiyo ya kuahidi kuwa naye milele maana mara nyingi inasababisha zile kesi kama aliyoileta sijui nani yule..............kuwa jamaa kasepa after kubanjua then dada akaamua kujenga uadui.

Usiijaribu kwangu..... utasign contract ati. Yaani unambie tu kwa mdomo kuwa utakuwa nami milele afu nikuamini?.....Ntakushikaje shati??

Kwani wanaume hawasemi hayo au wewe hujawahi kuambiwa?

Nadhani aliyosema mengi husemwa day zero ila baada ya hapo mhhhh...ni mwendo wa mbayu wayu wa JK!
 
Back
Top Bottom