How to save your life (Best tactic)

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Namna ya kujihami wakati wa kuuliwa.jpg
Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Huyo jamaa alikua amedhamiria kukuua halafu jamaa anatumia Kiti?
 
kama kweli inafanya kazi isingekuwa katuni..
naelekea dom kucheki sinema ya kupigwa chini pm mp...
 
Mkuu Boflooooooo, fungua chuo " BOFLO INTERNATIONAL ACADEMY OF YOUR LIFE SAVING SKILLS AND KILLING YOUR ENEMY'' Utapata chapaa.
 
Kama amekubana kwa 30 mins utaamka kweli uchukue hicho kiti.....
 
Mkuu Boflooooooo, fungua chuo " BOFLO INTERNATIONAL ACADEMY OF YOUR LIFE SAVING SKILLS AND KILLING YOUR ENEMY'' Utapata chapaa.

Umenipa wazo zuri sana mkuu..
Naomba tushirikiane mkuu kufungua..tutapiga hela ndefu.
Na wabongo ni waoga sana wa kufa.....watakuja kibao !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom