How to pick up nigerian women! Toooo Funny!!

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=qgcZAE1ULYI]YouTube - How to pick up nigerian women! Toooo Funny!![/ame]
 
Eti "I'm not speaking Swahili" haha kumbe lugha yetu ipo juu. Ila dada ana mapozi ya kufa mtu. Anavyo rembua na kubinua midomo mh.
 
Nawapongeza wanigeria kwa chat up lines zao ,inasadikiwa huko ulaya na Marekani wengi wao wanapeta na wasichana kutoka Bongo ,baada ya kuona hii clip najiuliza hivi ndivyo wanavyo wazowa wasichana wa kibongo?
 
whats wth women and guys who have just landed from the land of honey and milk.....utafikiria amekuja na GDP yote ya marekani!!! ahahahhahaha
 
Nawapongeza wanigeria kwa chat up lines zao ,inasadikiwa huko ulaya na Marekani wengi wao wanapeta na wasichana kutoka Bongo ,baada ya kuona hii clip najiuliza hivi ndivyo wanavyo wazowa wasichana wa kibongo?

...typical, ung'eng'e kidogo, akitafuna ' "bigijii" a.k.a "chingam" ' na kuchokonoa meno kwa kijiti!
 
Back
Top Bottom