Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by bongounlock, Dec 10, 2012.

 1. b

  bongounlock JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  g
   
 2. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 18
  Njia ipo, but lazima uwe very careful cause unaweza ua modem, Yani ukapoteza IMEI na modem kutoweza kushika network.. but kama uko makini and careful it will take you 15 minutes hivi na modem itakuwa PERMANENTLY unlocked.. ni pm ukiwa tayari
   
 3. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,237
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 48
  post hapa kwa manufaa ya wote mkuu e2themiza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 18
  Jinsi ya Ku unlock Huawei E153 Customized Firmware Permanently!

  ANGALIZO!

  DO THIS AT YOUR OWN RISK SITAHUSIKA KAMA MODEM YAKO KUHARIBIKA IN ANY WAY JUST BE VERY CAREFUL!  Kwanza download attachment nilioupload ina tools zote utakazo tumia ku unlock hii modem..

  Ukishadownload extract na anza ku install QPST.2.7.378. Don't launch it yet install tu..

  Then chomeka modem yako, weka line ambayo sio ya Tigo/Iliolokiwa na hii modem, itatokea dashboard na error kuwa huwezi tumia hii simcard click ok na exit iyo dashboard hakikisha Huminimize au kuiacha ina run kwenye background but iwe imefungwa kabisa..

  Sasa nenda device manager.. na locate modem yako kisha soma COM port yake..

  [​IMG]


  Sasa search ile software ulio install QPST na lauch QPST configuration

  [​IMG]

  Then click add new port, ile ulio ichk katika device manager

  [​IMG]


  Kisha uncheck "Show serial and USB/QC Diagnostic Ports only.. ili zionekane port zote na uione yako kisha Ichague na click ok.

  [​IMG]


  Na kama umechagua port yenyewe then lazima utona imeandikwa hivi

  [​IMG]

  Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua Start Clients then chagua Software Download

  [​IMG]

  Sasa hapa ni muhimu sana tena sana.. Click Back up tab kisha click browse kulia kwako na uchague location ambapo itasave backup yako, then click start na iache imalize ku backup

  [​IMG]

  Ok sasa mpaka hapo tutakuwa tume ua part 1 ya hili zoezi..

  Katika hii file nilio attach fugua folder ulio extract then utaona another tool imeandikwa Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya Modem yako, usijali utaona COm port ni tofauti but utaona imeandikwa 3G PC UI interface.. ndo iyo iyo..

  [​IMG]

  Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE.. Itafunguka a window u locate iyo firmware iko wapi sasa chagua file lilo bakia katika folder ulio extract file nilio attach "E153Update_11.609.18.00.00.B427" Then itaonyesha kama ifuatavyo..

  [​IMG]

  Then tunakuja kitu kingine MUHIMU sana wengi kabla kama manakumbuka mlishawahi kujaribu kuchange firmware, but ilikuwa inaleta error na kusema UPDATING FAILED, sasa hapa ndo maana tutatumia hii tool kuchange firmware tofauti na ya kawaida na kuua iko kisehemu kinacho sababisha iyo error. kama unaona katika picha hapo juu "06.bin" iko unchecked.. sasa fanya ivyo pia na ui uncheck iyo kitu.. NI MUHIMU SANA..

  Sasa rudi katika tabs juu na sasa chagua tab "Flash Modem" then chagua "Normal Mode" kuna kibox itatokea just click OK. na acha imalize ku badilisha firmware.. KINGINE muhimu karibia na mwishone italeta error katika "08.bin" iyo ni kawaida na lazima itatokea ivyoo just iache mpaka imalize then close it..

  [​IMG]


  So far unakariba kumaliza na utaweza ona dashboard inafunguka wakati ina endelea au kumaliza kuchange firmware we Ifunge tuu..

  Sasa tunaenda part ya mwisho na ndo muhimu.. mpaka now kama tulikuwa hatuta update au tuache modem kama ilivyo.. HAIWEZI kunasa any NETWORK na modem yako haina IMEI..

  So ni kama tunarudia step za mwanzo kwa kufungua QPST configuration, kufungua COM port ya modem, Then tunaenda software download same step kama za mwanzo but instead of going to BACK UP TAB sasa tuna enda tab ya ku RESTORE.. then click browse na peleka na uchague file ulio tegeneza kama back up mwanzoni

  [​IMG]

  Then Click START, na uache imalize.. baada ya hapo unaweza funga QPST, then chomoa na chomeka modem yako.. Na kwanzia sasa utaweza tumia line yoyote, your Modem will be PERMANENTLY unlocked, na kila kitu kiko sawa including IMEI yako imerudi hehe :)

  OK what did we do exactly?

  Ni kwamba iyo modem ilikuwa ina FIRMWARE ambayo iko customized na sio rahisi hivi hivi ku unlock PERMANENTLY mpaka utumie vyombo ziada..

  tulicho fanya ni kui downgrade to a previous firmware ambayo haiko locked wala customized :)

  Utaliza sasa mbona tumezunguka kote kuweza kuidowngrade hio firmware, lol walijua kuwa ugeweza fanya ivyo so wakabana hio kitu usiweze fanya kiurahisi ndo mana ukilaunch updater hivi hivi, mwishowe unakumbana na ERROR

  Hii njia nimeitumia na kufanikiwa ku unlock na modem haijasumbua in anyway, kama utakuwa makini na wewe utaweza pia..

  Maswali na feedback na tegemea kwa wingi, and GUDLUCK :)

  AM OUT!
   

  Attached Files:

 5. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #5
  Dec 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 983
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 18
  Ni full utamu hapa mpaka natamani nijaribu hii kitu but E-153 niliisukuma kitambo da!!!!
   
 6. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,237
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 48
  mkuu tunashukuru xana lakini step ipi ni 2 risky?ili tuwemakini
   
 7. Don David

  Don David JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 284
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 18
  Thanx sana mkuu kwa maujanja maana hiyo error inayotokea wakat wa kuupdate firmware ishatuumiza vichwa sana wengine,,ila i have appreciated your work bro..Kaza nzuri and big UP sanaa
   
 8. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 18
  ya kusahau ku backup au kudelete iyo backup au kusahau ku restore n.k
   
 9. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 18
  Pamoja mkuu
   
 10. Don David

  Don David JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 284
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 18
  mkuu naomba niwe wa kwanza kutoa feedback..hii mambo is 100% working and it is perfect ,,asante sana e2themiza pia naomba niongeze kitu kidogo kwenye maelezo yako,
  -hii njia siyo risky sana kama utaweza kuyakeep mafile yako ya backup sehem safe na uyarestore baada ya kumaliza
  -pia wakati unaiflash modem ikikuletea error yoyote isikuumize kichwa kwa maana unaweza kurudia kuiflash as many times as you want as long as unatumia firmware sahihi
  -baada ya kuiflash unaweza ukaichomoa na kuirudisha ukiona kama option ya kurestore inakataa kufanya kazi(inaweza kuleta error ukitaka kuirestore)
  datss all folks..
  pamoja sanaa..
   
 11. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,237
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 48
  yani cijui mi nina mkosi ,,,yani process ya kwanza ya ku-install qpst imegoma inasema failure to register HRESULT,,,,Kuna nn kwenye computer yangu
   
 12. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  thanks sana mkuu your trick worked 100%
   
 13. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Tumia hio hapo nyingine niliyo attach, mimi mwenyewe ilinizingua kwenye windows 8 ikabidi nitafute hiyo nyingine.
   

  Attached Files:

 14. uchumi

  uchumi Member

  #14
  Dec 12, 2012
  Joined: Aug 3, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3
  e2themiza asamte sanaaaaa man imefanya kazi hyo trick yako. wewe mkali sanaaaaaaa man. jamii forums ndo kila ki2 jamaa
   
 15. araway

  araway JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 449
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 18
  dah~! mi yamenishinda ngoja niendelee na kale kamchezo ka ku unlock temporary ingawa kana boa
   
 16. f

  fbf New Member

  #16
  Dec 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaribu na hii pia, yenyewe tu inajieleza
   

  Attached Files:

 17. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Mkuu vipi kwa Huwaei E960... ninayo ya Zain mzee nimechoka na kuwa na mfumo wa kufanyiwa ukiritimba...tafadhali e2themiza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #18
  Dec 12, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 18
  Dah iyo mkuu sijui njia ya ku unlock
   
 19. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2012
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 1,801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Mkuu na haka ka ZTE MF190 ka AIRTEL kanawezekana ku unlock?
   
 20. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,237
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 48
  mkuu shukrani imeinstall lkn nimekwama kwenye file la ku-back up nimekosa ya kuchagua ,,,coz nimechangua moja ikasema error
   

Share This Page