How to make an avatar moving?

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,937
772
I tried many times to make my avatar moving any one who knows how to make an avatar moving pls!!!!!!!!
 
I tried many times to make my avatar moving any one who knows how to make an avatar moving pls!!!!!!!!
e3392518de6d4cd446a6f869d77802dc.gif


hizo picha zinaitwa Graphics Interchange Format (GIF), ni mfano wa animations, unaweza kutengeneza online kupitia www.picasion.com
 
Another good way inayoweza kukupaa total control ya avatar animation yako ni kutumia Adobe Photoshop

Ukiwa na image zako tatu , nne , tano au idaidi yeyote unaweza kuzi customise Kisha kwenye menu kuna option ya window. ndani ya option ya widow kun suboption ya Animation. Ukichagua hiyo unaweza kuamua frame za image zako ziwe anaimated vipi. na transition na muda kutoka frame moja kwenda nyingine

Baada ya hapo una save file lako la photoshop lakini unachagua option ya save for web devices na kwenye type of file unachagua GIF.( format hii ndio Recomeded for avatar and web media animation)

some other few helpful links and video ni kama
Tutorial to create an Animated .GIF in Photoshop CS5 | briandalessandro.com


But na mm bado ni mwanafunzi wa mambo ya graphics na animation
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom