How to make a Natural and pure home made VIAGRA

Daah hilo tikiti maji lina manufaa sana hata kwa wale wanaochana shuka kisa miguu yao inachana shuka ukishakula lile tikiti chukua lile ganda sugua maeneo ya miguu ambao ni sugu basi ukiendelea hivi ile sugu yote inakwisha.....sio mwanamke unamgusa mume shurti unamuumiza bibi na magamba...fanyien kazi hii akina dadazz ili kudumisha ndoa...
 
Hamna sumu hapa Ginner' nisingedhubutu kuiweka hapa jamaa angu. Me nna uhakika na hii kitu na nimesaidia watu wengi sana wa karibu yangu.
Hahahha mkuu tuhakikishie pia iyo kitu sio sumu.....nani atakuwa wa kwanza kuionja iyo kitu...nani atamfunga paka kengele
 
Hii yooøoote, kisa kumlidhisha mwanamke!!! Hivi, hawa wadada/mama wanajua jinsi wanaume wanahangaika juu ya k* zao!! Eee mola tunusuru!! However, pamoja na yote ya docta mtoa mada, usisahau kuwa PSYCHOLOGY NDO INA MATA! Uki-percieve inferiority, kila siku utakuwa mtu wa kubadilisha na kutumia dawa!! Hebu jiamini unaweza, kula msosi wa uhakika, then start to practice! Ilazimishe akili yako usiwahi kumaliza!! Kila kitu kinaendeshwa na ubungo na jinsi unavyojiaminisha!
 
Mkuu ungetusaidia kujua mathalani nikichua Tikiti la 1 kg nichanganye na malimao mangapi na huo mchanganyiko uwe umetumika baada ya muda gani.? je kipimo gani mtu atumie? na kipimo kinategemea uzito wa mtu ama laa?
 
mshana jr kuja huku, kumbe tangu 2012 haya maujuzi yapo nilidhani yamegunduliwa leo, teh! tena kwa lugha pendwa
 
Huna haja ya kuchemsha au kuchanganya. Wewe kula tu kama lilivyo na mbegu zake inatosha. Pia bamia si mchezo ukila nazo zinaongeza heshima
 
Back
Top Bottom