How to make a Natural and pure home made VIAGRA

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
Habari wakuu, leo ntashare tips za kutengeneza viagra ukiwa umetulia zako nyumban na ukawa unatumia kupigia kazi hamna dunia nzima.
Steps ni kama ifuatavyo:~
1. Nunua tikiti maji na limao zako mbili
2. Katakata tikiti maji vizur na lisage kupata juice yake
3. Chukua kisufuria weka hiyo juice ya tikiti maji na anza kuichemsha
4. Wakati inachemka kamulia limao zako mbili then iache ichemke kwa dakika 5 then itoe na iache ipoe
5. Ihifadhi kwenye kichupa chako kisafi na kila unapokua na game kunywa dakika 15 before game kuanza!

WARNING: Kama una matatizo ya moyo do not drink this!

Basi wakubwa solution ndo hiyo kwa wale ndugu zangu wanaohangaikaga na za dukan mwisho wa siku unaishia kujiua kabisa. Feedback muhimu!
 
Tikiti maji na limao vya kuchemsha? Haya na hiyo kick inaisha baada ya muda gani manake mbio kama za wa-ethiopia ama karamajong zinahitajika! Kazi ipo!
 
Mmmh una agenda ya kumuua mtu uchukue mke wake si bure
 
Kama na wasichana wanaendaga mnara basi definitely itafanya kazi ipasavyo. Ila msije mkararuana tu' manake huo mzuka wake.
 
Tikiti maji linaheshimika sana na wajanja ktk kudumisha hishma ya ndoa, hasa mbegu zake.
Thanx for sharing
 
kipimo hujasema.tikiti maji kubwa kiasi gani kwani hata dogo kama gololi na limau mbili.Au ratio in ipi vile.Pia wanywe kiasi gani kwa siku.Kikombe kimoja au kijiko kikubwa kimoja cha kulia chakula.Kama hujasema kipimo wengine watatumia bila mafanikio na wengine watakufa kwa kunywa kiasi kikubwa sana na watarudi lijali kama kijana aliyedaleshee.
 
.. Kuna katikiti nilikaona jana pale home, ngoja nikirudi nikakachemshe namimi nijaribu. Ah, ninunue na limao.
 
Hahahha mkuu tuhakikishie pia iyo kitu sio sumu.....nani atakuwa wa kwanza kuionja iyo kitu...nani atamfunga paka kengele
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom