How to join society of Jesus(Jesuits) please.!!

Vmark.

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,353
270
Wana jf kama kuna mdau mwenye details za kujiunga na shirika la Jesuits naomba anijuze na kielimu mie ni graduate. All the best guys with constructive and destructive criticism.
 
Unataka kujiunga na Jesuits (kwa kiherehere cha yasemwayo mitandaoni na mitaani) ama unataka Kumtumikia Yesu Kristo kupitia Shirika la Majesuit kwa kuwa una Wito?

Kama una wito, waandikie barua kupitia
Mkurugenzi wao wa miito P.O. Box 1079. Wapo Dodoma Parokia ya Kiwanja cha ndege, watakujibu. Kwa maelezo zaidi njoo PM.
 
Nenda Loyola High School,Mabibo Farasi - Dar es salaam.Pale huwa wana mtu anayeshughulika na miito.Zamani alikuwa Fr. Edmund Mallya SJ lakini kwa sasa nafikiri atakuwa mtu tofauti.Pia wana-community ya wa-jesuit pale kwa hiyo inaweza kuwa rahisi kupata taarifa zote muhimu.Goodluck!

Sent from my BlackBerry 9650 using JamiiForums
 
Mkuu, fuata ushauri wa Mpogoro hapo juu! Alichosema ni kweli kabisa na sahihi.
 
Nenda Loyola High School,Mabibo Farasi - Dar es salaam.Pale huwa wana mtu anayeshughulika na miito.Zamani alikuwa Fr. Edmund Mallya SJ lakini kwa sasa nafikiri atakuwa mtu tofauti.Pia wana-community ya wa-jesuit pale kwa hiyo inaweza kuwa rahisi kupata taarifa zote muhimu.Goodluck!

Sent from my BlackBerry 9650 using JamiiForums

St. Antony sio shule yao? Mwanza najua wanaendesha kanisa la St Francis Xavier pale Nyakahoja. But Loyola kule mabibo pia inaendeshwa na mapadri hao wa shirika la Jesuit...
 
St. Antony sio shule yao? Mwanza najua wanaendesha kanisa la St Francis Xavier pale Nyakahoja. But Loyola kule mabibo pia inaendeshwa na mapadri hao wa shirika la Jesuit...

St. Anthony's sio shule yao.St. Anthony's hiko chini shirika la ma-brothers wanaitwa Christian Instruction(Brothers of Christian Instruction).Hao ma-brothers wana shule pia wanaendesha Tabora na pia babati Arusha huko.Na huko right kuhusu St. Francis Xavier Nyakahoja kule Mwanza,wao ndo wanaendesha kanisa na wako community huko.Kwa sasa wameelekeza nguvu sana Dodoma huko ambako wanaendesha Parokia ya Kiwanja cha Ndege,wana shule ya msingi na pia wanajenga chuo kikubwa tu kitakuwa.
 
Wana jf kama kuna mdau mwenye details za kujiunga na shirika la Jesuits naomba anijuze na kielimu mie ni graduate. All the best guys with constructive and destructive criticism.

Umepata komunio ya kwanza na kipaimara...ukijibu hili ntakuelekeza la kufanya lakini Uni PM
 
Umepata komunio ya kwanza na kipaimara...ukijibu hili ntakuelekeza la kufanya lakini Uni PM
Ndio nimeshapata mkuu......... Bora utoe maelekezo bila pm hata kwa wengine wanaotaka itakuwa rahisi kupata info zaidi......
 
Kama haupo bright ni ngumu na ili uwe Mjesuit kamili lazima uwe na masters na uwe padre bila ya hayo ni ngumu lakini kama upo Dar nenda Mabibo pale Loyola sio geti la shule bali lile lingine ndo nyumba yao
 
e7d4bbb43dd12d47842663896dc386ee.jpg
 
Wana jf kama kuna mdau mwenye details za kujiunga na shirika la Jesuits naomba anijuze na kielimu mie ni graduate. All the best guys with constructive and destructive criticism.
Una akili Za kutosha au za kuunga unga?
 
Back
Top Bottom