how to hide my ip address?

Sio kwamba im picking sides, ila I respect kila m2 anaechangia [isipokuwa ukitoa 'DUMB' nitakwambia kama nidumb, sio kwa nia ya kukucheka ila just kukufanya uingie hasirausome]

Hio ya juu irrelevant. Nataka kusema ROSEMARIE umekosea kupick sides na kumponda Ruckus [after all, hez just uncle Ruckus no relation :-D]. Alikuwa anabishana kukusaidia wewe, na wewe ndo unamkandia. He deserves a thank you! kabishana, wakajikamua ikapatikana elimu! kubishana sio kosa. napenda watu wanaobishana kwenye elimu, na miezi tele sijagusa jukwaa jengine kwasababu hii!

Na naombeni msichukulie mabishano yenu personally!

cheers! my ip address is G0E.FYO.URS.ELF :-D!!

RedSilverdog Wewe unaweza kuwa refa mzuri kabisa . But ni rahisi kupick side ukiwa huna knowledge nzuri na kitu so rosmarie amekosea lakini si kosa lake. Ni sababu yeye ni muuliza swali so so naye hana detail zaidi.

Kuhusu mpambano wa wa Rukus na sharobaro kila mtu ana Relevant points ila every one is viewing same thing from different angle.

Hizi ni point chache najumuisha za "mabondia"wote na kuongeza zangu

  • Hiding Ip adress dees not make one untracable but it can complicate or make tracing one computer hard
  • Hiding Ip adress kutumia free proxies slow network na inaweza kuchangia kutumika kwa bandwidth zaidi
  • Hiding IP adess ina faida mfano unaweza kuona vipindi vya BBC online ambavyo wanaona watu wenye IP za uk tu . So if u want to watch BBC online or some program za kimarekani may be kwa rose program kama american top model. eg huwezi kuona hii program kama huna Ip adress ya USA America's Next Top Model Video - Finale | Watch Online Free
  • Kuna free proxies za kutumia kuhide ip adreess wataalam wametoa link na firefox inayo Add on kama walivyobainisha

Vile vile Rosmarie kuwa makini na hao walioutumia massage inawezekana ni scammers wa kinigeria or nchi yeyote . If u dont mind ebu iweke hiyo message yao na adress yao waliyokutumia hapa. So knowledege nzuri kwako ya muhimu inaweza isiwe kuhide ip bali kutambua mail za scammers na uwe ana firewall policy nzuri na etc.

NB
Tunazidi kuelimika watu wakitofautiana kwa hoja. constructive criticism sio mbaya lakini inapokuwa personal hapo sasa ndo inakuwa kama tuko kwenye lile jukwaa la wanasiasa. teh teh teh Lets us not make technology subforum kama sisasa .........

Nawasilisha
 
RedSilverdog Wewe unaweza kuwa refa mzuri kabisa . But ni rahisi kupick side ukiwa huna knowledge nzuri na kitu so rosmarie amekosea lakini si kosa lake. Ni sababu yeye ni muuliza swali so so naye hana detail zaidi.

Kuhusu mpambano wa wa Rukus na sharobaro kila mtu ana Relevant points ila every one is viewing same thing from different angle.

Hizi ni point chache najumuisha za "mabondia"wote na kuongeza zangu

  • Hiding Ip adress dees not make one untracable but it can complicate or make tracing one computer hard
  • Hiding Ip adress kutumia free proxies slow network na inawea kuchangua kutumi ka kwa bandwidth zaidi
  • Hiding IP adess ina faida mfano unaweza kuona vipindi vya BBC online amabyo wanaona watu wenye IP za uk. So if u want to watch BBC online or some program za kimarekani may be kwa rose pgram kama american top model. eg huwezi kuona hii program kama huna Ip adress ya USA America's Next Top Model Video - Finale | Watch Online Free
  • Kuna free proxies za kutumia kuhide ip adreess wataalam wametoe link na firefox inayo Add on kama walivyobainisha

Vile vile Rosmarie kuwa makini na hao walioutumia massage inawezekana ni scammers wa kinigeriao nchi yeyote . If u dont mind ebu iweke hiyo message yao na adress yao waliyokutumia hapa. So knowledege nzuri kwako ya muhimu inaweza isiwe kuhide ip bali kutambua mail za scammers na uwe ana firewall policy nzuri na etc.

NB
Tunazidi kuelimika watu wakitofautiana kwa hoja. constructive criticism sio mbaya lakini inapokuwa personal hapo sasa ndo inakuwa kama tuko kwenye lile jukwaa la wanasiasa. teh teh teh Lets us not make technology subforum kama sisasa .........

Nawasilisha

mtazamaji umeongea kama baba
 
kuna kitu nimegundua,nafikiri humu ndani kuna watu wanajali na kufatilia,Uncle Rufus i am very sorry,lakini sikupenda jinsi ulivyomjibu sharobalo,huyu mtaalam anatusaidia sana,kwa mimi sioni sababu ya kwenda darasani,hili darasa nalopata hapa linanitosha kabisa,
Ki ukweli mada uliyotoa Rose Imenipa faida kubwa sana, sishabikii upande wowote ktk malumbano yaliyotokea ila Elimu haina mwisho hata kama umli mkubwa Bado unaweza kuelimishwa. Tutoe utaalam wetu pale panapotuhusu au tunapojua na vilevile kuipotezea mada inaruhusiwa jamani. Wataalam mnanifurahisha sana mnapotambaa ktk vithibitisho yaani mtu anabanwa mpaka anataka heshima ya ukubwa duh.
 
mtazamaji umeongea kama baba

Hahahahah Thanks romaie for you compliment.
=====================================================================

Sasa kwa kuendeleza mjadala ulingoni wa kuelimishana ili wataalam wazidi kushusha na kutafuta ukweli nauliza swali . I can google na binafsi najaribu kutafuta jibu ili tuwekene sawa. So tupigane makonde ya hoja sio vioja.

  • Je kama watu wengi au router nyingi au modem nyingi zinaweza kutimia Public IP adress moja kwa nini packet haziwezi kukosea njia balda ya kwenda kwenye IP adress ya 42.x.x.x ya Juma zikaenda kwenye ip adress 42.X.X.X ya John?
I mean kuna technology gani behind kuzuzia packet zenye header yenye destination ip adress sawa kutambua kuwa packet hiii ni ya juma na hi ni john wakati wote juma na john ip adress zao ni zao ni sawa.?

Tuendelee
 
dah! babu kubwa nitakuwa naingia kwa style ya kujificha kwa hawa wagema ulimbo ili wasinione,thanks kwa majibu yakinifu wakulu wa band
 
Hahahahah Thanks romaie for you compliment.
=====================================================================

Sasa kwa kuendeleza mjadala ulingoni wa kuelimishana ili wataalam wazidi kushusha na kutafuta ukweli nauliza swali . I can google na binafsi najaribu kutafuta jibu ili tuwekene sawa. So tupigane makonde ya hoja sio vioja.

  • Je kama watu wengi au router nyingi au modem nyingi zinaweza kutimia Public IP adress moja kwa nini packet haziwezi kukosea njia balda ya kwenda kwenye IP adress ya 42.x.x.x ya Juma zikaenda kwenye ip adress 42.X.X.X ya John?
I mean kuna technology gani behind kuzuzia packet zenye header yenye destination ip adress sawa kutambua kuwa packet hiii ni ya juma na hi ni john wakati wote juma na john ip adress zao ni zao ni sawa.?

Tuendelee

hapo mtazamaji naomba mtaalam wetu aje au labda keshalala,nafikiri ni mtu yuko busy sana
 
Mkuu Sharobalo.
Nimeingia ktk nobodycanstopus.com na nikaweka website add yangu Mafia Kisiwani na kuclick go ikafunguka,lakini nilipokwenda ktk site ya statcounter.com,ili kufungua account yangu na kuona itaandika nani aliyeitembelea hii site yangu lakini imeleta majibu sawa kwa ip add yangu na imeonesha ya kuwa nimeingia kupitia site ya nobodycanstopus.com yaani hakuna kilichojificha,hapo pamekaaje? au natakakiwa nifanyaje ili niwe invisibo? nitashukuru kwa majibu yako.
 
huyu sharobalo atakuwa keshalala,hata mimi yamenikuta,naamini hatujipeleki machinjioni ya kuchakachuliwa manake tunatumia nobodyconstopus,
labda kuna watu wanaona password na use name tunazotumia
 
watu kama sharobalo ni watu wenye skill ambayo lazima tuiheshimu sana,wana haki ya kuheshemika,
sio wachoyo wa elimu.
 
huyu sharobalo atakuwa keshalala,hata mimi yamenikuta,naamini hatujipeleki machinjioni ya kuchakachuliwa manake tunatumia nobodyconstopus,
labda kuna watu wanaona password na use name tunazotumia
Inashangaza sana, yaani mnataka kuficha IP address kwa kutumia website nyingine?

Je hao wenye hiyo website (nobodycanstopus), vipi mna waamini...!? Alafu website yenyewe wameipa jina NoBody Can Stop Us. Hamshtuki tu.
 
kila siku ilikuwa najiuliza maana ya "kuchamba kwingi mwisho hutoka na ma*i" ilikuwa nashangaa kivipi? kumbe ndo hivi?

unaficha ficha, unakuwa hacked na wanaokuficha!:evil:
 
Hahaha hapana mkuu tupo katika kujifunza,lengo ni kuona je inawezekana ndio maana tukachukua mazoezi ya KUJABIRISHA.
 
kila siku ilikuwa najiuliza maana ya "kuchamba kwingi mwisho hutoka na ma*i" ilikuwa nashangaa kivipi? kumbe ndo hivi?

unaficha ficha, unakuwa hacked na wanaokuficha!:evil:

pamoja na hayo kuna haja ya kuendelea kujifunza kwa bidii
 
na nyinyi mnategemea msipokuwa hacked ndo mtajua? ingieni mkiwa hacked ndo utajua hasaa.. good spirit!
 
Hahahahah Thanks romaie for you compliment.=====================================================================Sasa kwa kuendeleza mjadala ulingoni wa kuelimishana ili wataalam wazidi kushusha na kutafuta ukweli nauliza swali . I can google na binafsi najaribu kutafuta jibu ili tuwekene sawa. So tupigane makonde ya hoja sio vioja.
  • Je kama watu wengi au router nyingi au modem nyingi zinaweza kutimia Public IP adress moja kwa nini packet haziwezi kukosea njia balda ya kwenda kwenye IP adress ya 42.x.x.x ya Juma zikaenda kwenye ip adress 42.X.X.X ya John?
I mean kuna technology gani behind kuzuzia packet zenye header yenye destination ip adress sawa kutambua kuwa packet hiii ni ya juma na hi ni john wakati wote juma na john ip adress zao ni zao ni sawa.?Tuendelee
Apart from IP address, kuna Port numbers na Synchronization number.

Port Numbers
Kila service/application ina port number ambayo inaanzia 0 mpaka elfu 65. Mfano, kwa web(http) traffic port number yake ni 80, DNS-53, telnet-23, ftp-20,21, n.k. Kwa ajili ya usalama, hizi port number zaweza kubadilishwa na admin. Kwahiyo hata kama watu wanatumia IP address moja (kwa nyakati tofauti), bado port number zaweza kuwa tofauti (mfano, mmoja anadownload file-ftp na mwingine anatuma mail-smtp/pop).

Synchronization number
Mawasiliano katika internet mara nyingi yanahusisha vifaa (computer,router) viwili-sender and receiver. Kabla ya kifaa kimoja kutuma data kwa kingine, lazima mawasiliano ya awali yafanyike(TCP 3-way handshake) ili ijulikana kama receiver ipo tayari kupokea data. Hii hatua ni muhimu kwa huduma zote za TCP(e.g. telnet, ftp, smtp, n.k), lakini sio muhimu kwa huduma za UDP(e.g.TFTP). Sasa mawasiliano ya awali yanatofautishwa na mengine kwa kutumia number (random synchronization number). Hii number pia inatumika kutofautisha data za kifaa kimoja na vifaa vingine.
Kwahiyo, kila kifaa (computer,router) inaweza kutumia IP Address (shared) kwa wakati wake na kila packet itakuwa na IP address, port number, synch. number..
NyongezaKuna wakati hackers wanatumia udhaifu wa TCP 3-way handshake (sender-to-receiver-to-sender-to-receiver)kwa ajili ya kuharibu performance. Mfano, mtu akigundua namba(synch random numbers) ambazo kifaa fulani hutumia(through packet sniffing, eavesdropping.), anaweza aka-guess wakati mwingine atakapohitaji kuwasiliana na hicho kifaa ili aweze kufanikisha nia yake. The so called random numbers are actually no so random-they are predictable.
Loophole nyingine inayotumia ni kutokamilisha hiyo 3-way handshake-yaani kifaa cha hacker kinaanzisha mawasiliano na kifaa cha victim lakini mawasiliano hayakamiliki. Hii ima maana kwamba kama victim ni server/router na ina incomplete sessions kama 1 million (yes hackers wanatumia network moja nzima kushambulia server 1), hiyo server/router itakuwa busy inasubiria na kuprocess incomplete sessions na hivyo kutokuwa na muda wa kuhudumia legitimate users.
 
Hii thread imeifanya siku yangu iimalizike vizuri sana, nalala nikicheka sana,
Rosemarie Ubarikiwe sana kwa kuanzisha hii thread...

Mkuu,Sharobalo usijenge chuki nami nadhani kuna ulichojifunza toka kwangu,nami vile vile....
 
Hapo ndipo patamu!! ndio maana unaweza ficha IP yako...hii logic inathibitisha hilo..same IP ila kila mtu na package zake.
  • Je kama watu wengi au router nyingi au modem nyingi zinaweza kutimia Public IP adress moja kwa nini packet haziwezi kukosea njia balda ya kwenda kwenye IP adress ya 42.x.x.x ya Juma zikaenda kwenye ip adress 42.X.X.X ya John?
I mean kuna technology gani behind kuzuzia packet zenye header yenye destination ip adress sawa kutambua kuwa packet hiii ni ya juma na hi ni john wakati wote juma na john ip adress zao ni zao ni sawa.?

Tuendelee
 
Wewe bado ni mkuu tu!..

ila nadhani tumejifunza mengi..napi pia nimepata mengi mnoo. raha tupu hadi nikatamani asubuhi ifike fasta nirudi ofisini kusoma post yako itayo fata...haha ahah a

Back
Top Bottom