How To Handle Infidelity

CD jaribu kuwa makini na kile unaandika na kushauri kwa sababu unaonyesha uko so rude even if thread/mada imekugusa kiasi gani heshimu mtu sio siri sipendi vile unavyojibu thread za watu una maneno makali ambayo sio siri HAYAFAI and its not fair.

NB: JE nashindwa kuendelea kuifatilia kwa ajili yako

Note: This is from the bottom of my heart.
Unajua dena kuna watu wanajitoa muhanga kuelezea maisha yao ili watu wengine wajifunze
lakini kuna watu hawaoni hilo, kwa mfano huyu mama , angeamua kuruka na kuelezea uzinifu
wa mume wake tu tungejua haya? tungebaki kusema tu ooooh wanaume wabaya, sema wanawake nao wa
baya ila wana njia zao za kuwa wabaya na bado jamii ikawaona ni wazuri

Soma artical jifunze upate kufanya maisha yako au sia Dena
 
Gaga bana acha uchokozi
 
<br />
<br />
yaani sist carol ana maneno makali sana.
Kuna thread moja alinipa mtusi huo nikaishia kushukuru tu.
Ila katika jamii ni kuvumiliana dena, kuzikubali weakness za wengine ili kuishi kwa upendo na amani. Hakuna aliyekamilika.
Off topic: za kunichunia dena?

Yaani aliwahi kunitukana siku moja mpaka siku yangu ikaharibika nikanyamaza lakini
Naona kumbe ndo tabia yake TUMSAMEHE BURE ndo alivyoumbwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom