how to hack a phone??...msaada tafadhali...

Skillseeker

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
225
34
habari zenu wanaJF,
ninatumia nokia 5235. Katika kujaribu kwangu kupata baadhi ya application ambazo ninangeweza kuzitumia kwenye simu yangu na ni fullversion(cracked applications) naona kwenye baadhi ya watu wanaoupload hizi applications waweka note wakisema "this will work if your phone is hacked"..sasa naombeni mnielimishe na kunifunza wanachokimaanisha....
Je wanamaanisha nichukue simu nyingine nihack simu yangu(kama tunavyoelewa jinsi computer moja inavyotumika kuhack katika computer nyingine) au huku kuhack ni kwa namna nyingine...
 
Famous hacking program ya nokia now inaitwa helo0x ila nayo ipo unsigned so download helo0x signer kwenye website yao then sign kwa ajili ya simu yako website yao ni helo0x.com

Nb: haihitaji knowledge yoyote inanafanya everything hii helo0x
 
Af mkuu niliku PM kuna issue nilihitaji unisaidie naona kimya!
 
am very good on cumputer stuff I know how to trace phone Ip address to crack anything just pm for more information
 
Duh we ndo hujua hata topic inataka nini.

Hack phone inamaanisha ku install files ambazo zipo unsigned kama vile mafile yaliyo cracked. Nafkiri umetafsiri kilugha zaidi
 
habari zenu wanaJF,
ninatumia nokia 5235. Katika kujaribu kwangu kupata baadhi ya application ambazo ninangeweza kuzitumia kwenye simu yangu na ni fullversion(cracked applications) naona kwenye baadhi ya watu wanaoupload hizi applications waweka note wakisema "this will work if your phone is hacked"..sasa naombeni mnielimishe na kunifunza wanachokimaanisha....
Je wanamaanisha nichukue simu nyingine nihack simu yangu(kama tunavyoelewa jinsi computer moja inavyotumika kuhack katika computer nyingine) au huku kuhack ni kwa namna nyingine...

Mkuu nitumie email yako nkutumie a zip file lenye tool ya kuhack phone yako.
 
be carefully unaweza ukajuta ku hack cm yko..bt kam haujal jarbu

Taja pros na cons na si kutisha watu, mbona mie sina ujuzi na nilifuatilia maelekezo humu na nimefanikiwa kuhack tena nilidownload file moja lenye tools zote nikafuata maelekezo sasa napeta tu full kudownload. Sasa hv nipo kwenye mchakato wa kuinstall OS nyingine kwenye e61i nataka niweke Symbian bele.
 
Famous hacking program ya nokia now inaitwa helo0x ila nayo ipo unsigned so download helo0x signer kwenye website yao then sign kwa ajili ya simu yako website yao ni helo0x.com

Nb: haihitaji knowledge yoyote inanafanya everything hii helo0x

lazma ni unganishe cm yangu kene laptop?
 
Back
Top Bottom