How to fix this problem?.

MIUNDOMBINU

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
465
96
Hi.
I have 8gb sd card that I use with the Sony Camera T190 model.My problem is when i want to transfer the
photo from sd card it displays empty on my Pc but when i Put the sd card on my Camera all pictures are displayed.what can i do to solve such problem?.Thank you.
 
Unatumia USB au slot card ya kwenye computer nikiwa na maana phisicaly unachukua memory card na kuweka kwenye laptop itasoma kama memory stick au removable drive....kama kwenye camera ulikuwa unatumia memroy card wakati unapiga picha u will them.

Kama ulikuwa unatumia internal memory..cable will be usefull.
 
try this...use your camera cable to connect to the PC(with card inside the camera),dont insert the card itself to the PC
 
mkuu.nina connect sd card kwa kutumia card leader na inafunguka km kawaida lakini sio data yeyote japokuwa kuna picha kibao tu ndani.asante.
 
Mkuu AZA.I tried to do what you told me but I didn't success.may give me another procedure thanx.
 
Mkuu AZA.I tried to do what you told me but I didn't success.may give me another procedure thanx.

Mzee miundombinu jaribu kutoa specification au aina za hiyo card reader yako na SD card. Inawezekana kuna incompatibility.

Kuna SD card za aina nyingi na na Kuna SD card reader nyingine haziwezi kusoma SD card ya aina fulani.

kwa hiyo Nahisi unashindwa kuona kitu sababu unachofanya ni kama kucheza DVD kwente Drive ambayo imetengenezwa kucheza CD za kawaida.

DVD player (drive) inaweza kusoma na kucheza CD,VCD na DVD lakini VCD player haiwezi kucheza DVD.Nadhani umenipata.
 
Hii ni kwa sababu kulikuwa na virus na mara baada ya ku scan tu imeficha kila kitu. Fanya hivi: ukifungua card kwenye address bar ya hiyo card iliyofunguka type
H: dcim\ (H ikiwa ni drive ya hiyo card yako. Lakini inaweza kuwa vyovyote vile si lazima iwe H) hapo itakuonyesha kwa chini kidogo ni file gani kisha li click litafunguka.

Au wakati una scan angalia utaona mafaili ambayo yanakuwa scanned ni pamoja na picha zako. Andika directory hiyo kwenye address bar ya drive yako piga enter kila kitu kitakuwa bomba

Kisha rudi kutoa taarifa.
 
its a virus/worm problem,nashauri download ubuntu or any linux distro,burn it as iso,then run it live on RAM,utafungua picha zako.u can actually have ubuntu to run from usb flash disk,thn use it for the purpose,without installing it in ur hrd drive.
 
Kwa maelezo yako kama sd card yako inafunguka na ina onyesha empty kana kwamba hakuna picha yeyote, baada ya kufungua nenda kwenye Tools halafu click kwenye Folder Option, ikishafunguka folder option, nenda kwenye view then click kwenye view hiden files halafu click apply then click ok. Nadhani utaweza kuziona picha zako, na baada ya kuziona nakushauri uzihamishe halafu uformat hiyo sd card.
 
Kwa maelezo yako kama sd card yako inafunguka na ina onyesha empty kana kwamba hakuna picha yeyote, baada ya kufungua nenda kwenye Tools halafu click kwenye Folder Option, ikishafunguka folder option, nenda kwenye view then click kwenye view hiden files halafu click apply then click ok. Nadhani utaweza kuziona picha zako, na baada ya kuziona nakushauri uzihamishe halafu uformat hiyo sd card.

Kuna wakati hata kwa njia hii huoni kitu. Mara nyingi nimekutana na cases hizi!
 
Miundombinu...Tupe matokeo ya ushauri uliotolewa... ili tuone tunaendeleaje>>>
 
Ndg wapendwa nawashukuru sana kwa ushauri wenu mzuri tena sana...kweli mnajari na kuthamini shida ya kila mwa JF...nimefanikiwa kupata picha zangu na data zingine wa kutumia driver ya CARDRECOVER ambayo unaweza kuipata katika website www.cardrecover.com Asanteni sana MUNGU AWABARIKI.
 
Hongera kwa hilo sambamba na waliokupa ushauri, JF yenye michango murua inawafaa wengi ambao wako makini.
 
Back
Top Bottom