How To Disable Avast Theft Aware from my nokia 5800

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Hello wana forum,kama miezi miwili iliyopita nilipata link ya theft aware nikaidownload na kui activate kwenye simu, na ikawa kwenye stealth mode(haionekani kwenye menu ya simu). Tatizo ni kuwa nikibadilisha lain ya simu message zinajituma kutoka kwenye laini niliyoweka hadi salio liishe, na hata nikiweka salio nalo pia lazima liishe (coz msgs zinaendelea kujituma), na hata nikirudisha lain ile niliyoitumia kua activate theft aware bado message naendelea kuzipata kwa ku deduct salio kutoka kwenye lain hadi salio liishe. Nifanyaje kuondoa hii program? Help pliz, kumbuka kuwa haionekani kwenye menu ya simu.
 
kuiondoa hiyo app unabid kwanza uilaunch then uidisable ili icon yake ionekane hapo ndipo unaweza kuitoa. Kuifungua hiyo program unabid udial access code/password yake, yenyewe itacancel hiyo call nakufunguka. E.g. Password yako ni 1995 dial 1995 nayenyewe itafunguka. Ila sio lazima uitoe kwani ukitaka iwe inatambua kuwa simu kadi uliyoingiza niyako inabidi ukiweka line yako uifungue, ukishafanya hivyo haitakusumbua tena kwenye hiyo line.
 
hadi kwenye application manager haionekani? Netqin inasolve kiurahisi tatizo lako kama unayo nenda mobile security then list application zote halafu un install
 
Chief Mkwawa, kwenye application manager haionekani, na hata kwenye netquine hiyo application haionekani, kwa hiyo kama ni ku delete nita delete application zingine na siyo hii ninayotaka ku delete.
 
Last edited by a moderator:
Chief Mkwawa, kwenye application manager haionekani, na hata kwenye netquine hiyo application haionekani, kwa hiyo kama ni ku delete nita delete application zingine na siyo hii ninayotaka ku delete.
 
Last edited by a moderator:
Chief Mkwawa, kwenye application manager haionekani, na hata kwenye netquine hiyo application haionekani, kwa hiyo kama ni ku delete nita delete application zingine na siyo hii ninayotaka ku delete.
 
Last edited by a moderator:
kuiondoa hiyo app unabid kwanza uilaunch then uidisable ili icon yake ionekane hapo ndipo unaweza kuitoa. Kuifungua hiyo program unabid udial access code/password yake, yenyewe itacancel hiyo call nakufunguka. E.g. Password yako ni 1995 dial 1995 nayenyewe itafunguka. Ila sio lazima uitoe kwani ukitaka iwe inatambua kuwa simu kadi uliyoingiza niyako inabidi ukiweka line yako uifungue, ukishafanya hivyo haitakusumbua tena kwenye hiyo line.

How do I dial the password? Nialekeze jinsi ya kuifungua na kupata hiyo account yangu ili niifunge. Pliz help me.
 
ulivyo install hiyo program siku ya kwanza siilikuambia uingize access code. Sasa zile code/password ulizoingiza piga kama unavyopiga simu nyingine utaona inafunguka hiyo program.
 
Asante sana mkuu, nimefanikiwa kui disable. Be blessed, Gdnt.
 
Back
Top Bottom