yaani wewe umenichekesha sana
Anatokea kanda ipi? Kama vipi mvizie akilala....!I wonder unawezaje approach your lover who is over 25 apate kutahiriwa?Unaanzia wapi hadi aingie box ya kwenda hospitali to face the knife? Wakuu please advice.
Anatokea kanda ipi? Kama vipi mvizie akilala....!
Usipate tabu Maty, tuwasiliane tu
:dance: topic imenikumbusha mbali, siku moja nilikua na wazungu wakasema wanaume wao hawatairiwi mie nikawa SHOCKED wakasema haina umuhimu na ni kutesa watoto ambapo unavunja haki ya binadamu mie nikabaki :jaw:
anyway mawazo yangu nafikiri kwanza mulize yeye mwenyewe kwanini bado lipo, ni mila yao au mapenzi yake au bahati mbaya.
na muhimu zaidi muulize ana mpango gani nalo, alafu kutokana na majibu yake utapima kama una nafasi ya kubadili hayo mawazo yake.
Miaka 25 lazima atakua amekutana na wengine waliojaribu kumshawishi alitoe...sa kwanini hakulitoa?
wee unantamanisha na kunisisimua kwani natamani sana kuiona hiyo ikiwa kubwa halafu haijamenywa bado maana nimezoea kuona za watoto tu
yani hakuna mtu nampenda na kumfil kama rose yani ananichekesha mpka basihahahaaa bib weeeee uyu bacha alitaka kunichokoza ikabd nimwulize kwnza matumiz ya ile kitu labda mi sjui!!!!!!!
kweli mwasu?yani hakuna mtu nampenda na kumfil kama rose yani ananichekesha mpka basi
kweli mwasu?
aya bwana basi NAOMBA USHOGA??????
m 47 yrs old 5 kids devorced 3times bt m gud frend
if u accept me let me knw if u reject me just hold per yr health!!!!!!
salama ndugu yangu?ahh mwaya jf ndo pakucheka na kurefresh manake ukichek uku dedline i ukichek pale data zile sjui zimefanyaje ..sasa bila kuja jf kuflash pressure izi unaweza pata stress!!
wee unantamanisha na kunisisimua kwani natamani sana kuiona hiyo ikiwa kubwa halafu haijamenywa bado maana nimezoea kuona za watoto tu
You got to kiss that thing first before letting him inn ....................... au na wewe ndio wele wasoma magazeti, ...sambisako mweyewe,unajua ni mwiko kuwa huja tahiri,infact nika wambia watu wengine anaweza kutahiriwa kilazima.Sikuwahi kuona mtu asiye tahiri.Na yeye amekuwa akificha ,hataki kuguswa kumbe ameficha makuu.Nilipojua sijaweza hata kuonana naye.Im avoiding him mpaka nione what to do.Ni risky sana hata na protection because of hygiene issues.Kwanza ni mwiko mkubwa - hata inatisha - nivile tuu sikujua.
I wonder unawezaje approach your lover who is over 25 apate kutahiriwa?Unaanzia wapi hadi aingie box ya kwenda hospitali to face the knife? Wakuu please advice.