donlucchese JF-Expert Member Mar 23, 2011 17,047 21,522 Apr 9, 2011 #1 habar zenu waungwana? Napenda kufaham ni mazoez gani ambayo yanaweza kunifanya nikatoa kitambi nakutengeneza six packs kwa muda mfupi?
habar zenu waungwana? Napenda kufaham ni mazoez gani ambayo yanaweza kunifanya nikatoa kitambi nakutengeneza six packs kwa muda mfupi?
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,374 Apr 10, 2011 #2 Balanced diet nenda gym kuna machine zake kukimbia asubuhi na jioni kufanya kazi sana...sio keyboard...lima hata bustani ya mbogamboga
Balanced diet nenda gym kuna machine zake kukimbia asubuhi na jioni kufanya kazi sana...sio keyboard...lima hata bustani ya mbogamboga