How to block mobile contact????

Sony Ericsson P990i sio Symbian S60 ni Symbian UIQ3 (2005), Jaribu hizi version mbili sema nilizitumia muda kidogo na Sony Ericsson yangu, Advance Call Manager na Call Filter zitakusaidia,,
Mkuu sijajua tatzo nn,nmedowload zote mbili lakn nilipo save na kutaka kufungua niliambiwa ''No viewer can be found on your files'' sasa cjui tatzo nn,nn mkuu
 
Mkuu sijajua tatzo nn,nmedowload zote mbili lakn nilipo save na kutaka kufungua niliambiwa ''No viewer can be found on your files'' sasa cjui tatzo nn,nn mkuu
kama imekuandikia hivyo basi huna software ya kufanya Compression na Extraction ya mafile kama 7zip au WinRar kwenye computer yako..Download hii ( http://filehippo.com/download/file/7192e7afa37b0cdd39e283275d124910ca57ccf828089866ff05fa6cb2bd38fe/ ) Install kwenye computer alafu fungua hizo application za simu ili uziExtract kwenye desktop then Instal kwenye simu..
 
Katika simu nyingi za samsung unatakiwa kufanya hivi kwa shortcut
1. Jifanye unampigia ili number hiyo iingie kwenye dialed calls
2. Ingia kwenye dialed calls then chagua number unayotaka kublock
3. Bofya option
4. Chagua Block this number
5. Thats all you need to do.

umenena mkuu hata mchina zina option hiyo
 
Sony Ericsson P990i sio Symbian S60 ni Symbian UIQ3 (2005), Jaribu hizi version mbili sema nilizitumia muda kidogo na Sony Ericsson yangu, Advance Call Manager na Call Filter zitakusaidia,,

Mkuu na wenye NOKIa E63 YA 2009 hizi features za ku-blck zipo? Maana simu ina options nyingi utafkiri lapotop.
 
Mkuu na wenye NOKIa E63 YA 2009 hizi features za ku-blck zipo? Maana simu ina options nyingi utafkiri lapotop.

wacha laptop iwe laptop na simu iwe simu bhana!!
kwani simu kuwa na options nyingi ndo inakua kama laptop??
 
wadau nokia 3032 ni aina os gani na je naweza kui upgrade?

Kama unatumia simu ingia m.gsmarena.com ingiza model ya simu yako na utapata majibu ya maswali yako, pia nokia unaweza ingia kwa website yao kuna mahali pa kuweka firmware ya simu yako na utaambiwa kama kuna new updates
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom