How to block mobile contact????

sina hakika kama hiyo nokia yako ina support hii kitu lakin kama ina run symbian 3rd edition weka mr.call
 
Mkuu nivumilie na mimi natumia Sony Ericssonon P990i je nifanyaje? natanguliza shukrani

simu yako ni ya Symbian S60 kwa simu yenyewe hauwezi, ila unaweza pata thirty part app ikakusaidia, but utasumbuka sana kupata hiyo app kwasababu Symbian version ya simu yako ni ya muda mrefu tangu 2004 mpaka sasa ni kama 8 years, itakusumbua sana kufanikiwa
 
Katika simu nyingi za samsung unatakiwa kufanya hivi kwa shortcut
1. Jifanye unampigia ili number hiyo iingie kwenye dialed calls
2. Ingia kwenye dialed calls then chagua number unayotaka kublock
3. Bofya option
4. Chagua Block this number
5. Thats all you need to do.
 
Mkuu nivumilie na mimi natumia Sony Ericssonon P990i je nifanyaje? natanguliza shukrani
Sony Ericsson P990i sio Symbian S60 ni Symbian UIQ3 (2005), Jaribu hizi version mbili sema nilizitumia muda kidogo na Sony Ericsson yangu, Advance Call Manager na Call Filter zitakusaidia,,
 

Attachments

  • CallFilterUIQ30.zip
    132 KB · Views: 17
  • Advanced Call Manager.zip
    1.1 MB · Views: 18
Application nyingi ni lazima ziruhusu simu iite kidogo alafu ndio inakata, hivi hakuna program ambayo ukipiga simu inakwambia hupatikani?
 
Wadau kuna mtu anansumbua sana kiukweli nataka nii block namba yake yan akiwa ananipigia au anantumia mesej asinipate kabisa.....nijuzeni jinsi ya kufanya hivyo mana nimejaribu nimeshindwa alaf hyu mtu anazid kuniboa??

Ndugu, acha woga. Huyo mpe live akukome. Kwa usumbufu wake atatumia namba nyingine kukusumbua. Mwambie sitaki mawasiliano na wewe. Kama ni deni lipa tu huna njia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom