The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Mbu huyu Shehe ana lake jambo kwa kweli...tatizo ni kwakuwa shehe kasema?
...nawashauri mumsikilize tena kwa makini, mtafakari na muelewe, (unless tatizo
litakuwa lugha.)
Shehe kwenye ufafanuzi wake amesema mke hapigwi!
(mume) Ataruhusiwa kupiga (as a last resort!) baada ya kumkanya, kumuonya, na kumtishia
pale tu mke atapomnyima unyumba (waliopo kwenye ndoa mnajua sio ajabu kunyimana unyumba)
fikiria Kupiga bila kupitiliza, kuumiza au kutoa alama, kuna maana gani kisha tujadili.