How to attach large file (200mb) in yahoo mail

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Heshima mbele,
Naomba nisaidiwe jinsi ya ku-attach file lenye ukubwa wa 200mb kwenye yahoo mail

NB
Ziwezi kuligawa (Break) file hilo
Thank in advance
 
Pole mkuu!!! kwa yahoo hutaweza ila unaweza ukatumia hostfile nyingine ya bure uka upload file lako...halafu yule unayetaka alipate utamtumia link..ambapo akibonyeza anali download moja kwa moja.

tumia Hotfile.com: One click file hosting ni freee na unaweza atach hadi 400mb free kabisa....buree

kama unataka kutumia yahoo tu....unataka kuli split likawa vipande viwili pia unaweza tumia software ya HJSplit - Download pia unaweza kuligawa vipande vidogo dogo hata kama mb 10 halafu uka upload moja moja...unayemtumia atavidownload vyote na akitaka kupata lile file atumie software hiyo hiyo kuviunga vipande na kupata file moja lenye ukubwa wa 200mb bila kupoteza chochote.

cheers!!!!
 
HJSplit is a file splitter which enables you to split files of any type and size. Does not need to be installed. Just click on hjsplit.exe and the program starts. This program can even handle files which are larger than 10Gb!
Now what's the use of a program like HJSplit? Think of a file of 20 Mb, and try to send this to a friend. Using email this does not succeed, it is simply too large, and how to put it onto a floppy? HJSplit will enable you to split the large file into smaller chunks, which can be much more easily sent and stored.
Of course HJSplit can join these split parts back together again, so that the original file is restored. HJSplit is very reliable, simple, small and easy to use. It does not need any installation or complicated DLLs, it just consists of one '.exe' file. This means that you can also run it directly from a floppy or CD-Rom.
 
Pole mkuu!!! kwa yahoo hutaweza ila unaweza ukatumia hostfile nyingine ya bure uka upload file lako...halafu yule unayetaka alipate utamtumia link..ambapo akibonyeza anali download moja kwa moja.

tumia Hotfile.com: One click file hosting ni freee na unaweza atach hadi 400mb free kabisa....buree

kama unataka kutumia yahoo tu....unataka kuli split likawa vipande viwili pia unaweza tumia software ya HJSplit - Download pia unaweza kuligawa vipande vidogo dogo hata kama mb 10 halafu uka upload moja moja...unayemtumia atavidownload vyote na akitaka kupata lile file atumie software hiyo hiyo kuviunga vipande na kupata file moja lenye ukubwa wa 200mb bila kupoteza chochote.

cheers!!!!
Nimekukubali, can i get your CV
Tumia Free File Hosting Made Simple - MediaFire , yahoo total limit ni ndogo so kulivunja haitakusaidia.
Thnx
 
Back
Top Bottom