Ndahani ukitoka hapa ukavae shati
Jamani wanaume ni ma-explorer in nature na hata hiyo unayoiita womanizer (I dont know why you have decided to use this term) hata akioa hataacha kujiuliza Didi I made the right choice?? Wao wanaexplore tu hata wangepewa wanawake wote dunia hii kama kungekuwa na sayari nyingine yenye viumbe kama sisi ni lazima wangeibia tu (Unafikiri kwa nini husemwa kuwa wanaume hawawezi kuishi bila wanawake??). Na hata ukimkuta anayesema/onekana kutoexplore ni either alishaexplore sana huko nyuma na sasa ameamua kupumzika au umri umesonga sana kiasi kwamba hata wewe mkewe anakuona kama dadake tu. But karibia wote wanafanya isipokuwa wanatofautiana kwa kuwa na level tofauti za usiri.
Ni kwa sisi kina dada tuwe makini tu (ingawa nako kuna kanature flani hv nadhani) maana utakuta ndada anamjua kabisa mkaka huyu ni kiwembe lakini bado atamkubalia amfunue. Sanasana tunajikuta unamwuliza maswali-jibu utasikia "Mbona nasikia ulikuwa na flani ukamwacha? Una uhakika hutanidampu??" huku macho umerembua... hivi unategemea atakwambia "Yeah baby nikimpata aliye bomba zaidi yako ntakudampu????.
Uwezo na nguvu za kukataa kuwa womanized ni kwa mwanamke mwenyewe na hata siku moja tusitegemee jinsia hii kubadilika na kuacha nature yao eti wawe saints............................

kamanda... thatnks for representing us before jury, however, i am worried about your generalization... i do believe that the probablity of having women who are explorer is there and also men who are not explorer is notJamani wanaume ni ma-explorer in nature na hata hiyo unayoiita womanizer (I dont know why you have decided to use this term) hata akioa hataacha kujiuliza Didi I made the right choice?? Wao wanaexplore tu hata wangepewa wanawake wote dunia hii kama kungekuwa na sayari nyingine yenye viumbe kama sisi ni lazima wangeibia tu (Unafikiri kwa nini husemwa kuwa wanaume hawawezi kuishi bila wanawake??). Na hata ukimkuta anayesema/onekana kutoexplore ni either alishaexplore sana huko nyuma na sasa ameamua kupumzika au umri umesonga sana kiasi kwamba hata wewe mkewe anakuona kama dadake tu. But karibia wote wanafanya isipokuwa wanatofautiana kwa kuwa na level tofauti za usiri.
Ni kwa sisi kina dada tuwe makini tu (ingawa nako kuna kanature flani hv nadhani) maana utakuta ndada anamjua kabisa mkaka huyu ni kiwembe lakini bado atamkubalia amfunue. Sanasana tunajikuta unamwuliza maswali-jibu utasikia "Mbona nasikia ulikuwa na flani ukamwacha? Una uhakika hutanidampu??" huku macho umerembua... hivi unategemea atakwambia "Yeah baby nikimpata aliye bomba zaidi yako ntakudampu????.
Uwezo na nguvu za kukataa kuwa womanized ni kwa mwanamke mwenyewe na hata siku moja tusitegemee jinsia hii kubadilika na kuacha nature yao eti wawe saints............................
Mh Mtiifu in what sense........kuwatendea haki kwa mujibu wa nature au?MJ1 Mbona mimi niko tofauti talking about explorer kama Vasco Da Gama kwa kweli nimekuwa mtiifu kwa dada zetu:smile-big::smile-big:
You are right Acid am not denying that there are some saints among you and wolves among us.kamanda... thatnks for representing us before jury, however, i am worried about your generalization... i do believe that the probablity of having women who are explorer is there and also men who are not explorer is not
Mh Mtiifu in what sense........kuwatendea haki kwa mujibu wa nature au?
Uko sahihi kabisa The Finest but if you read my post utagundua kuwa sijageneralize I said karibia wote wanafanya ila wanatofautiana kwa level ya usiri au?:nono::nono:, Hivi MJ1 hakuna wanawake ambao ni maexplorer, sababu i believe when you exploring something or someone ndipo pale utakapoweza kudiscover kile ambacho ulichokuwa unakitafuta and to assure you ni kuwa exploring never ends uliishasikia wapi watu wakafanya research wakamaliza its usually goes on and on its doesnt matter how many years will it take, but kwa jinsi ulivyo generalize inakuwa ngumu kidogo.
Uko sahihi kabisa The Finest but if you read my post utagundua kuwa sijageneralize I said karibia wote wanafanya ila wanatofautiana kwa level ya usiri au?
Even Us we are different; there are some who are explorers too.
Jamani wanaume ni ma-explorer in nature na hata hiyo unayoiita womanizer (I dont know why you have decided to use this term) hata akioa hataacha kujiuliza Didi I made the right choice?? Wao wanaexplore tu hata wangepewa wanawake wote dunia hii kama kungekuwa na sayari nyingine yenye viumbe kama sisi ni lazima wangeibia tu (Unafikiri kwa nini husemwa kuwa wanaume hawawezi kuishi bila wanawake??). Na hata ukimkuta anayesema/onekana kutoexplore ni either alishaexplore sana huko nyuma na sasa ameamua kupumzika au umri umesonga sana kiasi kwamba hata wewe mkewe anakuona kama dadake tu. But karibia wote wanafanya isipokuwa wanatofautiana kwa kuwa na level tofauti za usiri.
Ni kwa sisi kina dada tuwe makini tu (ingawa nako kuna kanature flani hv nadhani) maana utakuta ndada anamjua kabisa mkaka huyu ni kiwembe lakini bado atamkubalia amfunue. Sanasana tunajikuta unamwuliza maswali-jibu utasikia "Mbona nasikia ulikuwa na flani ukamwacha? Una uhakika hutanidampu??" huku macho umerembua... hivi unategemea atakwambia "Yeah baby nikimpata aliye bomba zaidi yako ntakudampu????.
Uwezo na nguvu za kukataa kuwa womanized ni kwa mwanamke mwenyewe na hata siku moja tusitegemee jinsia hii kubadilika na kuacha nature yao eti wawe saints............................
Thanks Kamanda... I love dem wolves, they make us look saintlyYou are right Acid am not denying that there are some saints among you and wolves among us.
wataweza tu wakimrudia mungu cz wanayoyafanya si kwa nguvu zao ni SHETAN ANAWAENDESHA
yes kuvutiwa kupo bt not 2the extent ya ku un do yule wa jana na kuklik next wa leo.....wanataka wampiku mfalme suleiman et ...wataweza??
wakitafuta neema ya mungu na mungu akawa kila kitu kwao i tabia wataacha cz mungu atawaguid kwa kila kitu watakuwa na eva mmoja n thats t ata km delila akijipitisha na uzuri mwing km wa cleopatra wala hawatatetereka!!!!!
Most men have this problem of desiring any lady they see who crosses their line of sight. A man may decide to stick with a certain lady today, but the next day another lady may appear to be more attractive and gorgeous than the girl he intends to settle down with. Beautiful girls are so many and located everywhere that making a choice has always been like;
YES SHE IS THE ONE!!! baadae utamsikia ...mmmh
NO IT IS THIS ONE!!!
Hii mambo mbona inakuwa siku hadi siku kulikoni???????????????????????????!:A S 33::A S 33:
Msinimeze hv great one !
nimekutana na hii PM jamani kweli people mmedata
"God will not answer your prayer when you are about to be killed, how then will he answer the prayer for mere quiting womanizing?"
Madame naona umechakachua vizuri kabisa .Asante sana MJ1
nadhani umejiandikisha kupiga kura pia:hippie:
The problem is women, they know u have a partner, a wife, a B/f but they will still go out with u. Wengine tuna huruma
pia, si unajua wangine walikuwa wanawaita mama huruma, kuna na akina baba huruma pia :smile-big:
Unakumbuka enzi za uhujumu uchumi?? enzi zile tunapanga foleni kwa kila bidhaa muhimu?? Basi nimeshaweka jiwe langu kwenye foleni ya kupiga kura mapema kabisaaaa kila asubuhi napita kituoni kuhakikisha kuwa halijasogezwa....nitakuwa wa tatu kuingia chumba cha kupigia kura.Madame naona umechakachua vizuri kabisa .Asante sana MJ1