How Should Men Overcome Womanizing?

HIVI WAHISHIMIWA.....!samahani kidogo mimi naamini vitu viwili katika ufikiri wangu:1-SIJAMWELEWA MRUSHA MADA 2-(......).

mimi naomba nikuulize swali dogo sana ndugu yangu.......
KWENYE HIYO CASE YA WOMANIZING,kuna mazingira yoyote ya mwanamke anaekuwa womanized KULAZIMISHWA?RAPE?HARRASSMENT?

au je....mwanamke anaekuwa WOMANIZED hana hatia hapo?hapaswi kukanywa?hana ndoa?

au je....mwanamke kila akitongozwa lazima AVUE?ni haki yake KUVUA?

maanake nasita kumjadili WOMANIZER il hali najua kwamba kuna mtu hapo WOMANIZEE ambaye ''haguswi'' kwenye huu mjadala ''mama'' wa mpango mzima wa (....)
 
:ranger::ranger::ranger:
 
Most men have this problem of desiring any lady they see who crosses their line of sight. A man may decide to stick with a certain lady today, but the next day another lady may appear to be more attractive and gorgeous than the girl he intends to settle down with. Beautiful girls are so many and located everywhere that making a choice has always been like;
YES SHE IS THE ONE!!! baadae utamsikia ...mmmh
NO IT IS THIS ONE!!!
Hii mambo mbona inakuwa siku hadi siku kulikoni???????????????????????????!:A S 33::A S 33:
Msinimeze hv great one !

Pole ni kawaida ila na wewe jitahidi kuwa mpya kwake kila siku!
Become another type of a woman every morning
Usishangae akaanza kuweka masufuria kitandani:bowl:
 
HIZO KILIMANJARO MNAZONYWEA KWENYE VIKOMBE VYA KAHAWA ndo maana mnalewa mapema

Karibu tena Bigie,

Mbona umekuwa mkali hivyo? Hebu tuliza tuliza kidogo...bado tunataka kuwa na wewe katika hii wk ya Novena!!

DC
 
ha ha ha!
haya mheshimiwa sana Retired Maj Gen DC (1947)

Hutaki kuamini?

Wewe uliiona bendera ya Mwingereza ikishushwa? Hebu kwanza sema shikamoo...kaka? Ukikosea ukasema shikamooo mwalimu imekula kwako!!

Ukumbuke kuwa adhabu ya kunidanganya bado iko pale pale?
 
HIVI WAHISHIMIWA.....!samahani kidogo mimi naamini vitu viwili katika ufikiri wangu:1-SIJAMWELEWA MRUSHA MADA 2-(......).

mimi naomba nikuulize swali dogo sana ndugu yangu.......
KWENYE HIYO CASE YA WOMANIZING,kuna mazingira yoyote ya mwanamke anaekuwa womanized KULAZIMISHWA?RAPE?HARRASSMENT?

au je....mwanamke anaekuwa WOMANIZED hana hatia hapo?hapaswi kukanywa?hana ndoa?

au je....mwanamke kila akitongozwa lazima AVUE?ni haki yake KUVUA?

maanake nasita kumjadili WOMANIZER il hali najua kwamba kuna mtu hapo WOMANIZEE ambaye ''haguswi'' kwenye huu mjadala ''mama'' wa mpango mzima wa (....)

hII ULIOULIZA HAPA inafanana na ile ya kusema ina maana kila kichaka lazima u*****?
 
hII ULIOULIZA HAPA inafanana na ile ya kusema ina maana kila kichaka lazima u*****?

Huyu Teamo ni mchokozi tu. Amesahau kuwa mama/dada/binamu zetu ni watu safi sana, hawafanyi hayo mambo..isipokuwa wale walioharibikiwa ambao ndio wanaosababisha womanizers ku-exist! But majoirity of women are Mother Theresa type...:tape::tape:
 
Thanx Kipimapembe will kam back to u soonest akili yangu leo iko kidogo sana

FL1,

Kwa sababu unajua nimesema ukweli. Huu huwa ni ukweli ambao wanaume wengi hawapendi kuukubali. Of course tafiti zangu ni kwa wanawake wa working class. Kwa wale wa vijijini sina uhakika. Lakini kwa wale walioko maofisini wanawake ni Infidels zaidi ya wanaume, au kwa kutumia lugha yako wanawake ni Womanized zaidi kuliko wanaume walivyo womanizers. Wanaume wengi (hata humu ndani) hupenda kujisingizia tabia ambazo hawana; Ni kama Sadam Hussein (Marehem) alivyokuwa akitaka ulimwengu uamini kama ana WOMD wakati hana, halafu wale wenye nazo kwa uhakika kabisa (Kama Israel) wakitaka dunia nzima iamini hawana!

Kwa hiyo huu ushauri wako uelekeze kwa wanawake wa working class naona ndo unawahusu.
 
fl1,

kwa sababu unajua nimesema ukweli. Huu huwa ni ukweli ambao wanaume wengi hawapendi kuukubali. Of course tafiti zangu ni kwa wanawake wa working class. Kwa wale wa vijijini sina uhakika. Lakini kwa wale walioko maofisini wanawake ni infidels zaidi ya wanaume, au kwa kutumia lugha yako wanawake ni womanized zaidi kuliko wanaume walivyo womanizers. wanaume wengi (hata humu ndani) hupenda kujisingizia tabia ambazo hawana; ni kama sadam hussein (marehem) alivyokuwa akitaka ulimwengu uamini kama ana womd wakati hana, halafu wale wenye nazo kwa uhakika kabisa (kama israel) wakitaka dunia nzima iamini hawana!

Kwa hiyo huu ushauri wako uelekeze kwa wanawake wa working class naona ndo unawahusu.

it could be true
 
Mi sometimes nafikiria wanaume hawajui wanachokitaka, au wanatafuta kitu ambacho hakionekani kwa macho.
Kuna kitu huwa nakiamini, kina kaka mtanisaidia, msichana unaependa kweli kweli unaweza ukamtengeneza akawa kama unavyotaka kwa upendo tu.

Ni kweli na itabaki kuwa hivo hakuna mtu aliyekamilika asilimia mia katika mambo yote. Kama umempenda binti kwa dhati kipo ulichokipenda kikubwa ambacho kwa hicho waweza kuwa nae na kushauriana nae, kufundishana na hatimae anakuwa kama unavyotaka.

Kutokana na hicho ninachokiamini Mwanaume anaekuwa na mwanamke leo, kesho ana mwingine, kesho kutwa mwingine eti kisa huyu ni mzuri kuliko huyu, Ni mwongo na mharibifu na mleta majeraha kwene mioyo ya mabinti. Mwambie Mungu akuokoe ktk mitego hiyo
 
my dia mm nadhani ni kurithika na kile ulichonacho,binadam wote ni sawa,kama unashidwa kukabiliana na tamaa ya mwili then itakuwa mbaya sana maana unaweza kutamani hata dadako !:disapointed:
Hebu nipe jinsia yako kwanza niichakachue kabla sijatoa comment
 
Mi sometimes nafikiria wanaume hawajui wanachokitaka, au wanatafuta kitu ambacho hakionekani kwa macho.
Kuna kitu huwa nakiamini, kina kaka mtanisaidia, msichana unaependa kweli kweli unaweza ukamtengeneza akawa kama unavyotaka kwa upendo tu.

Ni kweli na itabaki kuwa hivo hakuna mtu aliyekamilika asilimia mia katika mambo yote. Kama umempenda binti kwa dhati kipo ulichokipenda kikubwa ambacho kwa hicho waweza kuwa nae na kushauriana nae, kufundishana na hatimae anakuwa kama unavyotaka.

Kutokana na hicho ninachokiamini Mwanaume anaekuwa na mwanamke leo, kesho ana mwingine, kesho kutwa mwingine eti kisa huyu ni mzuri kuliko huyu, Ni mwongo na mharibifu na mleta majeraha kwene mioyo ya mabinti. Mwambie Mungu akuokoe ktk mitego hiyo

Mara nyingi wanaume hawana wanachokuwa wamempendea mtu zaidi ya kuchakachua nanihii yake! Kama unabisha uliza wengine watakwambia....Mwanamume siyo rahisi kupenda..shida yake kubwa ni huo mzigo wa dada ndo unamtesa. Akishaushusha ndo unaweza kuanza kuhesabu hicho kitu mnaita nyie eti ni kupenda. Na hata mara nyingine mambo yanakwenda kwa mazoea zaidi huo upendo mnaodai. Men are very simple but yet extremely complex...upo hapo?
 
Back
Top Bottom