How Should Men Overcome Womanizing?

Rose, The behavior of someone may be depicted in his/her avatar. I wonder whether you really practice what you preach!!!!! I agree totally that nature is the driving force for someone to covet. What we need, is self-control and maintaining the dignity. This can be achieved by any-one whether is religious one or not.
unajaji kwa kava kaka??????
utapotea maziiiiima!!!!!!
pole swet hat si kila mwenye mvi ni mzee kaka,si kila mkonyezaji ni..... unaweza ukawa ni ugonjwa wa macho.......nk
USIJAJI KWA rangi wala ukubwa kakamkubwa utaumbuka!!!!
au ndo yote yanayosemwa na padre/shekhe ni sahihi???INUKA KIUTAMBUZI usichuchumae na mazoea!!!!
 
FL1,

Ni vibaya sana kuwatuhumu wanaume, kwani kila kitendo cha Mwanaume ku-womanize huendana na Mwanaume (Mtenda) na Mwanamke (Mtendewa) - ikiwa hivyo ndo sahihi. Huyo mwanaume anayewominize na mwanamke anayekuwa womanized wote ni wahusika. Kinachofanya tendo hilo lionekane linatendwa zaidi na wanaume tu ni hiki hapa:

Wanaume wako tayali ku-admit kuwa wanafanya hivyo kwani mila na desturi zinawafanya wanaume waone kufanya hivyo ni kama ushujaa fulani. In fact wanaume wengi wanapenda wajulikane kuwa wana wanawake wengi (wengine hata kujisingizia) - aitwe KIDUME. Wanawake wanapokuwa womanized hu-keep low profile kwa sababu kwao ikijulikana ni soo katika jamii (Waume zao wanaweza hata kuwaua au kuwaacha, wanapoteza heshima mbele ya jamii, n.k.). Mwanamke akiwa katika ndoa ata-admit kuwa mumewe ni womanizer na Mashoga zake watajua, familia yake watajua, n.k. Lakini Mume akijua kuwa mke wake anakuwa wominized na mwanaume mwingine ata-keep low profile (sana sana ugomvi na soo lake litakuwa ndani). Kwake ni aibu kubwa kwa marafiki zake, ndugu, au yeyote anayemhusu kujua kuwa mke wake anakuwa womanized na mwanaume mwingine.

Kutokana na hayo, nje nje inaonekana wanaume ni womanizers na wanawake hawafanyi. Lakini ukweli ni kuwa kwa kila mwanaume womanizer, kuna Mwanamke womanized! uwiano ni 1:1. Fanya utafiti kwenye jamii utayaona wazi wazi. Tena mie kwa tafiti zangu zisizo rasmi, wanawake womanized ni wengi zaidi. Sababu yake ni kuwa Mwanaume mmoja anaweza akawa ana-womanize wanawake kadhaa mtaani. Akajulikana sana yule mwanaume, lakini wake za watu anaowa-womanize wakawa hawajulikani.

Ukifanya utafiti wa ndani zaidi naona uwiano ni kama 1:4. Yaani Mwanaume womanizer mmoja, wanawake womanized 4.
 
...matamanio sawa na njaa, hata ule vipi njaa itakuuma tena!
 
So wanawake kwenye idara hiyo ni wabaya zaidi, ingawa mavuvuzela huwa wanaume (wengine wanajisingizia tu)! Wanawake siku zote huenda kimya, na simba mwenda kimya ndo mla nyama!
 
FL1,

Ni vibaya sana kuwatuhumu wanaume, kwani kila kitendo cha Mwanaume ku-womanize huendana na Mwanaume (Mtenda) na Mwanamke (Mtendewa) - ikiwa hivyo ndo sahihi. Huyo mwanaume anayewominize na mwanamke anayekuwa womanized wote ni wahusika. Kinachofanya tendo hilo lionekane linatendwa zaidi na wanaume tu ni hiki hapa:

Wanaume wako tayali ku-admit kuwa wanafanya hivyo kwani mila na desturi zinawafanya wanaume waone kufanya hivyo ni kama ushujaa fulani. In fact wanaume wengi wanapenda wajulikane kuwa wana wanawake wengi (wengine hata kujisingizia) - aitwe KIDUME. Wanawake wanapokuwa womanized hu-keep low profile kwa sababu kwao ikijulikana ni soo katika jamii (Waume zao wanaweza hata kuwaua au kuwaacha, wanapoteza heshima mbele ya jamii, n.k.). Mwanamke akiwa katika ndoa ata-admit kuwa mumewe ni womanizer na Mashoga zake watajua, familia yake watajua, n.k. Lakini Mume akijua kuwa mke wake anakuwa wominized na mwanaume mwingine ata-keep low profile (sana sana ugomvi na soo lake litakuwa ndani). Kwake ni aibu kubwa kwa marafiki zake, ndugu, au yeyote anayemhusu kujua kuwa mke wake anakuwa womanized na mwanaume mwingine.

Kutokana na hayo, nje nje inaonekana wanaume ni womanizers na wanawake hawafanyi. Lakini ukweli ni kuwa kwa kila mwanaume womanizer, kuna Mwanamke womanized! uwiano ni 1:1. Fanya utafiti kwenye jamii utayaona wazi wazi. Tena mie kwa tafiti zangu zisizo rasmi, wanawake womanized ni wengi zaidi. Sababu yake ni kuwa Mwanaume mmoja anaweza akawa ana-womanize wanawake kadhaa mtaani. Akajulikana sana yule mwanaume, lakini wake za watu anaowa-womanize wakawa hawajulikani.

Ukifanya utafiti wa ndani zaidi naona uwiano ni kama 1:4. Yaani Mwanaume womanizer mmoja, wanawake womanized 4.

great, coz woman cant survive in a world without womanization.
 
wataweza tu wakimrudia mungu cz wanayoyafanya si kwa nguvu zao ni SHETAN ANAWAENDESHA
yes kuvutiwa kupo bt not 2the extent ya ku un do yule wa jana na kuklik next wa leo.....wanataka wampiku mfalme suleiman et ...wataweza??
wakitafuta neema ya mungu na mungu akawa kila kitu kwao i tabia wataacha cz mungu atawaguid kwa kila kitu watakuwa na eva mmoja n thats t ata km delila akijipitisha na uzuri mwing km wa cleopatra wala hawatatetereka!!!!!

We Rose, mbona hiyo avatar uliyoweka haiendani na ujumbe uliotoa? Badilisha hiyo avatar kama uko kimaadili zaidi.
Hiyo avatar na maelezo yamenichanganya
 
my dia mm nadhani ni kurithika na kile ulichonacho,binadam wote ni sawa,kama unashidwa kukabiliana na tamaa ya mwili then itakuwa mbaya sana maana unaweza kutamani hata dadako !:disapointed:

Yamekuwa hayo tena?
 
Hivi ni wanaume tu wanaotamani wanawake na kuwachalaza au na wanawake nao wanawazukia wanaume? It takes two to tangle! Mi naona wanaume ambao wanawake wa leo huwa wanawazimikia wapo wachache. Sasa ndio hivyo tena kuna msululu mrefu kila mtu anawataka hao hao. Sasa wale wenye moyo wa kusaidia ndio hivyo tena wanatembeza kwa kwenda mbele. Nyie kina mama mtusaidie....tufanye nini kuhusu hao wanaotembea wanapiga miyayo tu wenyewe hawana wanaume wa kuwasaidia???
 
We Rose, mbona hiyo avatar uliyoweka haiendani na ujumbe uliotoa? Badilisha hiyo avatar kama uko kimaadili zaidi.
Hiyo avatar na maelezo yamenichanganya
mantisa
usizubae na mazoea
si kila kitabu cheusi ni biblia kaka
avatar iyo nimeiweka makusuuuuuuuuuuud na ninaipenda sANA...iweje ujaji mtu kwa mwonekano?
angalia product za mti usiangalie mti..kuna km mchungwa lakin unatoa ndimu na kuna mpapai lakin unatoa matope tope...AVATAR IYO NIMEIWEKA ILI NIPOTEZEE WATU...CZ WATAZAN SHE Z LIKE...KUMBE .....BT USIDANGANYIKE NA AVATAR...!!!!!!!
 
FL1,

Ni vibaya sana kuwatuhumu wanaume, kwani kila kitendo cha Mwanaume ku-womanize huendana na Mwanaume (Mtenda) na Mwanamke (Mtendewa) - ikiwa hivyo ndo sahihi. Huyo mwanaume anayewominize na mwanamke anayekuwa womanized wote ni wahusika. Kinachofanya tendo hilo lionekane linatendwa zaidi na wanaume tu ni hiki hapa:

Wanaume wako tayali ku-admit kuwa wanafanya hivyo kwani mila na desturi zinawafanya wanaume waone kufanya hivyo ni kama ushujaa fulani. In fact wanaume wengi wanapenda wajulikane kuwa wana wanawake wengi (wengine hata kujisingizia) - aitwe KIDUME. Wanawake wanapokuwa womanized hu-keep low profile kwa sababu kwao ikijulikana ni soo katika jamii (Waume zao wanaweza hata kuwaua au kuwaacha, wanapoteza heshima mbele ya jamii, n.k.). Mwanamke akiwa katika ndoa ata-admit kuwa mumewe ni womanizer na Mashoga zake watajua, familia yake watajua, n.k. Lakini Mume akijua kuwa mke wake anakuwa wominized na mwanaume mwingine ata-keep low profile (sana sana ugomvi na soo lake litakuwa ndani). Kwake ni aibu kubwa kwa marafiki zake, ndugu, au yeyote anayemhusu kujua kuwa mke wake anakuwa womanized na mwanaume mwingine.

Kutokana na hayo, nje nje inaonekana wanaume ni womanizers na wanawake hawafanyi. Lakini ukweli ni kuwa kwa kila mwanaume womanizer, kuna Mwanamke womanized! uwiano ni 1:1. Fanya utafiti kwenye jamii utayaona wazi wazi. Tena mie kwa tafiti zangu zisizo rasmi, wanawake womanized ni wengi zaidi. Sababu yake ni kuwa Mwanaume mmoja anaweza akawa ana-womanize wanawake kadhaa mtaani. Akajulikana sana yule mwanaume, lakini wake za watu anaowa-womanize wakawa hawajulikani.

Ukifanya utafiti wa ndani zaidi naona uwiano ni kama 1:4. Yaani Mwanaume womanizer mmoja, wanawake womanized 4.

Thanx Kipimapembe will kam back to u soonest akili yangu leo iko kidogo sana
 
Hivi ni wanaume tu wanaotamani wanawake na kuwachalaza au na wanawake nao wanawazukia wanaume? It takes two to tangle! Mi naona wanaume ambao wanawake wa leo huwa wanawazimikia wapo wachache. Sasa ndio hivyo tena kuna msululu mrefu kila mtu anawataka hao hao. Sasa wale wenye moyo wa kusaidia ndio hivyo tena wanatembeza kwa kwenda mbele. Nyie kina mama mtusaidie....tufanye nini kuhusu hao wanaotembea wanapiga miyayo tu wenyewe hawana wanaume wa kuwasaidia???

:cool:Ndahani ukitoka hapa ukavae shati
 
mantisa
usizubae na mazoea
si kila kitabu cheusi ni biblia kaka
avatar iyo nimeiweka makusuuuuuuuuuuud na ninaipenda sANA...iweje ujaji mtu kwa mwonekano?
angalia product za mti usiangalie mti..kuna km mchungwa lakin unatoa ndimu na kuna mpapai lakin unatoa matope tope...AVATAR IYO NIMEIWEKA ILI NIPOTEZEE WATU...CZ WATAZAN SHE Z LIKE...KUMBE .....BT USIDANGANYIKE NA AVATAR...!!!!!!!

Mi nimedanganyika nayo...
 
wataweza tu wakimrudia mungu cz wanayoyafanya si kwa nguvu zao ni SHETAN ANAWAENDESHA
yes kuvutiwa kupo bt not 2the extent ya ku un do yule wa jana na kuklik next wa leo.....wanataka wampiku mfalme suleiman et ...wataweza??
wakitafuta neema ya mungu na mungu akawa kila kitu kwao i tabia wataacha cz mungu atawaguid kwa kila kitu watakuwa na eva mmoja n thats t ata km delila akijipitisha na uzuri mwing km wa cleopatra wala hawatatetereka!!!!!
Rose,haya unayoyasema mbona hayaendani na Avatar yako? maana hii avatar mmmhhh!!!!!!!!!!!!!!!! Mola apishe mbali na kishawishi chake.
 
most men wanapenda kuongelea nature and its a pity binadam kujifanananisha na wanyama eti jogoo,mara simba,.av seen kwenye post nyingi likija swala la kua na wanawake wengi,.wakati Mungu anakupa utashi na uwezo wa kujua mema na mabaya kukutofautisha na viumbe vingine duniani..real Men know their stand and know what comes first in life,applies to ladies too.Mungu atusaidie...
 
Mbona hatujaomba msaada wa kubadilishwa?
 
Question has to be "how do people overcome sexual temptation?". because ladies also have an interest in manizing as much as guys have intrest in womanizing. Society just change the concept but in reality women like sex as much as men do even more. Think dildos and different sorts of intimacy gadgets still yet there's still intrest.
Anyways to answer your question, pray and don't let the world sink you in except you are in a submarine then you can sink in for a while. Stick to one until she fs up too bad then discard and do it again; if not play along. There will always be beautiful ladies every hour, everyday, every year, every decade, and every century. Caution yourself
mpwa naona UMETIA kizungu hapo:smile-big:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom