How Professional men propose

...alaaaa kumbeeee

ndio maana pia kuna ulazima ku sign pre-nuptials kwa hao 'professionals'!

Interesting.
 
...alaaaa kumbeeee

ndio maana pia kuna ulazima ku sign pre-nuptials kwa hao 'professionals'!

Interesting.

PRE-NUPTUALS!! KWA KIPI WALICHONACHO majority bongo?? wengi hao so called professionals wanaanza hata meza hawana! Lol!Tena basi wasiokuwa na kitu..wakija kupata ni matata kwelikweli!!
 
Ndo maana amesema professionals.
Naona hawa watu wake wanahitaji business agreement, hawana shida ya human relationships.
Mi naona ni sawa kabisa kuandikiana mkataba.
ubaya wa mapenzi, yana raha na karaha sana, kwani unauacha wazi moyo wako tayari kwa kutumiwa na mtu mwingnine atakavyo.
 
MMH Haika sio lazima uuache wazi ivyo..unaweza ukauweka password..mwenye nayo tu ndio ataingia
 
nakwambia ndiyo maana sikuhizi ma bi harusi hawalii wakiolewa maana anajua kwamba kesho kutwa tu atarudi nyumbani kwao

Naima mama nakupa tano hapo ulipo.

Siku hizi hamna mapenzi ya kweli dadangu, imekuwa kama mchezo wakuigizwa tuu. Ule utamu tuliokuwa tukihadithiwa na akina nyanya zetu tukienda kuwaamkua huko chijijini kwamba ndoa ni tamu. Hamna hiyo siku hizi. We are now in the dot com world.
 
Back
Top Bottom