How Nairobi shaped future Malawi president

Nilienda Cape Town, tukatembelea High School moja, wanafunzi walitushangilia xana!!! Wanafaham namna tulivyowasaidia kuwakomboa!!!
 
Na kwa nyongeza ya info, pia Raila Odinga alipewa hati ya kusafiria ya ki-Tanzania (passport) ili aweze kuendelea na masomo yake ngambo baada ya serikali ya Mzee Jomo Kenyatta kuiwekea kisasi familia ya Mzee Jaramogi Odinga baba wa Raila Odinga.

Spot on Mkuu, alikwenda Ujerumani mkuu lakini hilo sikulisema kimaksudi.
 
U will never see Nairoberry again!, bye

Is busy burying his head in a sand like an OSTRICH in Turkana Desert, just give him a couple of days he gonna turn up with old wives' tale about the evil of TANZANIA and the blessings of KENYA, mimi ninacho muomba aturudishe passport yetu, hatufahi hata kidogo. Be blessed his master's VOICE.
 
Tusisahau pia mchango wa TZ katika kukomboa Uganda, Angola, Msumbiji etc, nadhani watanzania wanapidi ku-document contribution hii ili iendeleze pride tuliyokuwanayo kwa kizazi kipya
 
Is busy burying his head in a sand like an OSTRICH in Turkana Desert, just give him a couple of days he gonna turn up with old wives' tale about the evil of TANZANIA and the blessings of KENYA, mimi ninacho muomba aturudishe passport yetu, hatufahi hata kidogo. Be blessed his master's VOICE.

Tatizo these nyang'aus are soo ignorant yet they are soo shameless to display their ignorance with such arogance.
 
Geza Ulole,

..niliwahi kuwaambia kwamba KENYA walikuwa wanashirikiana na APARTHEID na RENAMO wakakasirika kweli kweli.

..hata jirani yao Somalia walikuwa wamekunja mikono muda mrefu tu, wakati Burundi,Rwanda,na Uganda, wamepeleka askari kulinda amani.

..sijui kitu gani kimewazindua sasa wameamua kuingia kijeshi Somalia.

Mkuu, hayo ni baadhi ya mambo mengi tunayo yajua lakini tunakaa kimya: Ebu waulize Mzee Mandela alipo toka gerezani na kuanza kutembelea nchi zilizomsaidia katika harakati zake za ukombozi wa nchi yake, naomaba watueleze Mzee Mandela alizungumza nini kuhusu "KENYA".

Mzee Mandela siyo mnafiki, huwa anaeleza ukweli bila kuogopa chochote.
 
Mzee embu nieleze kidogo hiyo nilikuwa sijui mzee mandela alizungumza nini kuhusu kenyans.
 
Back
Top Bottom