How Nairobi shaped future Malawi president

erfan

Member
Nov 20, 2011
70
17
SOURCE

How Nairobi shaped future president

PIX2.jpg

Malawi's Vice President Joyce Banda holds a press confrance in Lilongwe on April 6, 2012

When 26-year-old Joyce Banda boarded a plane to Nairobi in 1975, she did not know that she was embarking on a journey that would not only see her leave her abusive marriage, but also bring her to the highest office in the land, albeit three and half decades later.
Ms Banda became Malawi’s president last week following the death of Mr Bingu wa Mutharika, who had led the southern African country since 2004.
Acquiescent and dutiful, the mother of three had flown to join her husband Geoffrey Kachale, who was working at the Malawian embassy in Kenya.
“I think it all started out when I went to live in Kenya, because that is the time they declared the decade for women, 1975. I didn’t realise at that time that I was locked up in an abusive marriage. As an African woman, I had been brought up to believe that, that was normal, that if you are in a marriage there is nothing too much for you to bear, you can tolerate anything, you can live with anything, until I went to Kenya,” she told the Harvard Gazette in March last year.
Her sojourn in Kenya coincided with the golden era of renowned women empowerment crusaders led by Mrs Jane Kiano, Prof Miriam Were, Dr Julia Ojiambo, Ms Nyiva Mwendwa and Ms Wilkista Onsando.
The African Women and Child Feature Service executive director, Ms Rosemary Okello-Orlale, interacted with Ms Banda at many forums on gender equality.
Ms Okello-Orlale described Ms Banda as a forthright, firm, principled and dedicated woman.
She praised Ms Banda for refusing to stand down in favour of Mr Mutharika’s brother.
“Despite her firmness, she is a motherly and cordial person who is at home with everybody. She always credited Kenya for being a part of her life,” Ms Okello-Orlale told the Saturday Nation.
“I just thank God because I was at the right place at the right time… for the first time in my life, I began to hear words like violence against women, abuse, women in development, gender-based violence, gender equality. I didn’t even know as an African woman you could begin to think about being equal to anybody,” Ms Banda said.
The stage for her as a woman activist and politician was set in 1981, following the end of her husband’s diplomatic stint in Nairobi.
On returning to Malawi, and with her newly-minted courage, she left her husband, started a garment manufacturing business and later found Malawi’s National Association of Business Women (NABW).
Her visit to the United States further fuelled the fire that had been ignited in Nairobi.
She was inspired by an American women’s business organisation to start a small group of women to push the government for equal business opportunities in Malawi.
However, the small group turned into a big organisation. Today, NABW assists more than 20,000 women to set up businesses.
“By the time I went back home, I had made up my mind that the way I was going to reach out was to get maybe 100 women together, form a network, act as a pressure group to push the government for equal opportunity in business. I didn’t have the slightest idea that what I was starting was going to be a revolution,” said Ms Banda, who is also the patron of the Joyce Banda Foundation, a charity that assists disadvantaged children through education.
Ms Banda earned the nickname, mandasi seller because of her quest to empower small-scale business women.
Ms Banda went into active politics in 1999, winning a parliamentary seat under the former ruling United Democratic Front party ticket.
Once in, she held a number of Cabinet posts under both presidents Bakili Muluzi and Mutharika.
From there, her journey to the top, becoming the country’s first female vice-president three years ago, could not be stopped.
Not even a sack from the ruling party by Mr Mutharika could succeed in dimming Ms Banda’s star. She had refused to endorse Mutharika’s brother as the preferred candidate to succeed in 2014.
 
kenyans will soon take over malawi economically. good move to own madam president at this stage. kenyans are very learned and crafty you can not compare them to slow country
 
Nairoberry bana!! You are always in beef tu!!!

Satoo safi bana, lakini neda kale nyama choma vizuri ufuraike na weekend!! Acha kelele kwa pc...:blah:
 
There was a time when Tanzania was very influential in Africa, by cultivating leaders from tender age who swooped on in Dar University. Ordinary citizens from our neighbourhood always felt welcome.
Nowadays we chase, infuriate,frustrate,abuse and maltreat those who want to come to our country, especially from Africa. A cloud of xenophobia has descended on the country led by ****** who started to travel to other lands when they became ministers!
Well done Kenya, you reap what you had planted!
 
there was a time when tanzania was very influential in africa, by cultivating leaders from tender age who swooped on in dar university. Ordinary citizens from our neighbourhood always felt welcome.
Nowadays we chase, infuriate,frustrate,abuse and maltreat those who want to come to our country, especially from africa. A cloud of xenophobia has descended on the country led by ****** who started to travel to other lands when they became ministers!
Well done kenya, you reap what you had planted!

come again!!
 
Sijali,

..lakini hao walikuja kama wakimbizi na sisi tukawakaribisha.

..hawa wakina "Nairoberry" wanataka kuja kama mabwana na kutufanya sisi watwana wao.

..kuna kipindi neno wakimbizi lilipigwa marufuku Tanzania, badala yake tuliambiwa tuwaite wageni wakazi.

..sasa hawa wageni wakazi walipewa elimu, kazi, na hata waliruhusiwa kupewa uraia wa Tanzania.

..mfano wa karibuni ni wageni wakazi toka Rwanda ambao walipewa uraia wa Tanzania. Pia waliaminiwa na kupewa kazi serikalini,jeshini, na kwenye mashirika mengine kama raia wazawa wa-Tanzania.

..baada ya genocide wa-Tanzania wenye asili ya Rwanda wakaamua kuutema uraia wa Tanzania na kurudi Rwanda. Sasa hivi ndiyo hao hao wamegeuka tena wanalazimisha Tanzania iwaruhusu kuingia nchini bila passport na zaidi kuwa na haki ya kumiliki ardhi kama wa-Tanzania wengine.

NB:

..labda niwakumbushe tu historically waliopata kuishi Tanzania baada ya kukimbia nchi zao.

Zimbabwe:
..Herbert Chitepo[founder wa ZANU] he once served as Tanzanias Director of Public Prosecution.

..Gen.Solomon Mujuru "Rex Nhongo" [1st CDF of Zimbabwe] was trained at Mgagao in Tanzania.

Mozambique:

..Edward Mondlane[founding president of Frelimo of Mozambique],Samora Machel, Joaquim Chissano,Sabastiao Mabote, Graca Machel.

Malawi:

..Kanyama Chiume[foreign minister wakati wa kamuzu banda]. Chiume's kids r now living in Tanzania even though their father returned to Malawi, and died there a few years ago.

..Orton Chirwa[Malawis AG after independence] and Vera Chirwa, were exiles in Tanzania.

..kuna wengine kama Laurent Kabila[Mzee Mtwale is the name he used when he was Tz],Joseph Kabila,Yoweri Museveni,Wamba Dia Wamba, na wengine wengi tu.

..ungalia hapa AND Dakawa Camp:ANC DAKAWA CAMP OF TANZANIAN EXILE IN RETROSPECT - YouTube
 
nyang'au hawachelewi ku-credit themselves with someone success...hihihihi ati Kenya made her what she is! Hata Obama pia mliwika ati his successes were the results of his father's who only contributed sperms n deserted him as a toddler! Huko South Sudan mshapigwa risasi! World doesn't stop to amaze...!
 
Hata sisi Tz tulimshape Raila Odinga alipomkimbia Daniel Arap Moi mwanzonj mwa miaka ya 1980s alipohusishwa na kikundi kilichotaka kufanya mapinduzi ya serilkali

Mkuu, mbona nchi yetu aliwahi kuwapa hifadhi na mafunzo ya kijeshi Viongozi wengi mashahuri kutoka East and Southern Africa-huyo Raila aliwahi kupewa mpaka passport ya TANZANIA iliyomwezesha kusafiri nje - Tanzania hiyo, inavyo jali binadamu wenzao, na uzuri wa Watanzania ni kwamba, uwa tanafanya vitu kimya kimya bila ya kuitanagazia DUNIA kwa mbwembwe, kwa vitu ambavyo kibinadamu unapashwa kumsaidia binadamu mwenzako awe HURU.

Si hilo tu, WATANZANIA walifikia mpaka hatua ya kutoa damu zao kwa ajili ya ukombozi wa Africa. Sina hakika kama majirani zetu Kenya wakati wa enzi za Kenyatta waliwahi ku-contribute chochote morally or in kind katika ukombozi wa Wafrica wenzao ambao walikuwa kwenye minyororo ya ukoloni - HAKUNA! Hawakujali chochote.

Leo hii wanatwambia eti, mama Joyce Banda kwa ku-join women LIB na kuanza kukorofishana na mumewe, aliye fanikisha kumpeleka Kenya, eti hiyo ilikuwa +ve contribution katika mambo ya ukombozi - ebu tupeni list ya watu wengine ambao mliwahi kuwapa msaada wowote: Kijeshi au kifedha! Narudia kusema kwamba wakati wa utawala wa Mzee Kenyatta, Kenya haiku-contribute chochote cha kujivunia katika UKOMBOZI wa Wafrica wenzao!

Kuna Mkenya fulani aliwahi kusema humu eti kuna mambo mengi anayojua kuhusu TANZANIA lakini hayasemi, je, yeye ana uhakika gani kwamba WATANZANIA hatuwajuhi WAKENYA upside-down and inside-OUT.
 
Hata sisi Tz tulimshape Raila Odinga alipomkimbia Daniel Arap Moi mwanzonj mwa miaka ya 1980s alipohusishwa na kikundi kilichotaka kufanya mapinduzi ya serilkali

Na kwa nyongeza ya info, pia Raila Odinga alipewa hati ya kusafiria ya ki-Tanzania (passport) ili aweze kuendelea na masomo yake ngambo baada ya serikali ya Mzee Jomo Kenyatta kuiwekea kisasi familia ya Mzee Jaramogi Odinga baba wa Raila Odinga.
 
hapana sababu ya kupewa hati ya Tanzania ilikuwa kipindi RAO anaenda kusoma Ujerumani Mashariki, Kenya ilikuwa haijapata Uhuru na British Government ilimnyima ruhusa kwenda nje kwa hiyo Nyerere akamsaidia kupitia Ubalozi wa Tanzania Egypt ikumbukwe wakati huo baba yake alikuwa kwenye harakati za kudai Uhuru Oginga Odinga pamoja na Kenyatta aliyekuwa gerezani kipndi hicho
 
hapana sababu ya kupewa hati ya Tanzania ilikuwa kipindi RAO anaenda kusoma Ujerumani Mashariki, Kenya ilikuwa haijapata Uhuru na British Government ilimnyima ruhusa kwenda nje kwa hiyo Nyerere akamsaidia kupitia Ubalozi wa tanzania Egypt ikumbukwe wakati huo baba yake alikuwa kwenye harakati za kudai Uhuru Oginga Odinga pamoja na Kenyatta aliyekuwa gerezani kipndi hicho

Shukrani kwa kuweka kumbukumbu sawa kuhusu pasipoti ya ki-Tanganyika ya Mh. Raila Odinga na jinsi Tanganyika (Tanzania) ilivyowekeza ktk kuwajenga wanasiasa kama Raila Odinga, Yoweri Museveni, Kanali George Garang' (Sudani ya Kusini) n.k
Together with other students who were also East Europe bound, he travelled to neighbouring Tanzania where they were met by the Regional Commissioner of Dar Es Salaam, Mr. Dolla Athman, at the then ruling party TANU headquarters on behalf of President Julius Kambarage Nyerere, in Dar Es Salaam.· As guests of the government of Tanzania, they were booked into Hotel Intercontinental in downtown Dar Es Salaam, where they remained for 14 days while the Tanzanian government processed travelling documents for them, including passports. The entourage then left Tanzania en-route to Eastern Europe via Kenya, where they stopped over, this time, as Tanzanians since they were now Tanzanian passport holders and, by extension, citizens of that neighbouring country. Read more source: Raila Amolo Odinga and the August 1982 Coup! « Hard Talk Kenya
 
Sijali,

..lakini hao walikuja kama wakimbizi na sisi tukawakaribisha.

..hawa wakina "Nairoberry" wanataka kuja kama mabwana na kutufanya sisi watwana wao.

..kuna kipindi neno wakimbizi lilipigwa marufuku Tanzania, badala yake tuliambiwa tuwaite wageni wakazi.

..sasa hawa wageni wakazi walipewa elimu, kazi, na hata waliruhusiwa kupewa uraia wa Tanzania.

..mfano wa karibuni ni wageni wakazi toka Rwanda ambao walipewa uraia wa Tanzania. Pia waliaminiwa na kupewa kazi serikalini,jeshini, na kwenye mashirika mengine kama raia wazawa wa-Tanzania.

..baada ya genocide wa-Tanzania wenye asili ya Rwanda wakaamua kuutema uraia wa Tanzania na kurudi Rwanda. Sasa hivi ndiyo hao hao wamegeuka tena wanalazimisha Tanzania iwaruhusu kuingia nchini bila passport na zaidi kuwa na haki ya kumiliki ardhi kama wa-Tanzania wengine.

NB:

..labda niwakumbushe tu historically waliopata kuishi Tanzania baada ya kukimbia nchi zao.

Zimbabwe:
..Herbert Chitepo[founder wa ZANU] he once served as Tanzanias Director of Public Prosecution.

..Gen.Solomon Mujuru "Rex Nhongo" [1st CDF of Zimbabwe] was trained at Mgagao in Tanzania.

Mozambique:

..Edward Mondlane[founding president of Frelimo of Mozambique],Samora Machel, Joaquim Chissano,Sabastiao Mabote, Graca Machel.

Malawi:

..Kanyama Chiume[foreign minister wakati wa kamuzu banda]. Chiume's kids r now living in Tanzania even though their father returned to Malawi, and died there a few years ago.

..Orton Chirwa[Malawis AG after independence] and Vera Chirwa, were exiles in Tanzania.

..kuna wengine kama Laurent Kabila[Mzee Mtwale is the name he used when he was Tz],Joseph Kabila,Yoweri Museveni,Wamba Dia Wamba, na wengine wengi tu.

..ungalia hapa AND Dakawa Camp:ANC DAKAWA CAMP OF TANZANIAN EXILE IN RETROSPECT - YouTube

Asante kwa kutufungua macho!
 
nyang'au hawachelewi ku-credit themselves with someone success...hihihihi ati Kenya made her what she is! Hata Obama pia mliwika ati his successes were the results of his father's who only contributed sperms n deserted him as a toddler! Huko South Sudan mshapigwa risasi! World doesn't stop to amaze...!

Geza Ulole,

..niliwahi kuwaambia kwamba KENYA walikuwa wanashirikiana na APARTHEID na RENAMO wakakasirika kweli kweli.

..hata jirani yao Somalia walikuwa wamekunja mikono muda mrefu tu, wakati Burundi,Rwanda,na Uganda, wamepeleka askari kulinda amani.

..sijui kitu gani kimewazindua sasa wameamua kuingia kijeshi Somalia.
 
Back
Top Bottom