Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
Salaam wanaJF!!
Suala la kufanya savings kwa kila mwezi ni la muhimu sana kwa ajili ya kujiwekea mazingira mazuri kwa nyakati zijazo.
Tatizo ni kwamba, katika kiwango cha kufanya hiyo saving ndicho kinakanganya:
i. wengine wanasema asilimia 10 ya kipato chako cha mwezi How Much Money Should I Save?
ii. wengine asilimia 30 ya kipato cha mwezi Limit spending to 60% of income and save more - MSN Money
Sasa kwa kweli nashindwa kuelewa!!!
Hivyo mwenye ujuzi na uelewa zaidi katika jambo hili naomba msaada.