How Many Countries Have You Travelled To??

Kwani mkulu kaenda ngapi? Huwa nambebea mikoba hata sikumbuki ni ngapi ila mwishoni tulikutana na Maksimo, Bekamu na Dirogiba wote katika nchi zao
 
aaah sorry nchi ya zanzibar nimefika mara 2......
pia nchi ya namanga, iramba, mpwapwa, kongwa, kondoa, sirari, nairobi,tukuyu, ikwiriri, mkuranga,mwanza, uk{ukerewe}

dadadadad nchi zote hizo, hapa jografia imelala.............

Mkuu hata zanzibar hujafika?..hahahahaaa...!.mia
 
ayaaaa umekosea kuna ready made blankets, au huko hazipo?
halafu nishafika nchi ya bagamoyo....nilisahau kuitaja

Uhondo pia nimefika nimekaa miezi 6, sema kuna baridi nikalazimika "Kubadili Tabia" ya kunywa sana whsky instead of coffee.
 
I've been to 6 countries:

Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, Dubai and England...

Taja zako.....

  • :llama: :llama::llama::llama:

To the best of my knowledge mkuu Boflo nadhani Dubai ni jiji ndani ya UAE na sio nchi.

Binafsi nishakanyaga anga za
China
HongKong
Kenya
India
South Africa
Ethiopia
mwisho kabisa Zanzibar kama ikijiengua kutoka JMT
 
haaa yaani cacico mbona hata pendekezo lenyewe limenipita ilikuwa wapi mamito? mi apo nimeshangaa na bado nashangaa nina sababu yangu tu.....hebu lete maneno naona mnamsuta Bishanga kule

Nitamwambia gfsonwin asije huko kwen mdundiko lol
ilikuwa kwenye thread ya Fixed Point ile ya kuendesha nyumba kwa remote, hamna neno najua huwezi zungusha, Bishanga acha asutwe, kazidi ushakunaku na kumkuwadia babu Asprin vitoto humu ndani! lol! ila sasa naona moyo wake umemdondokea The secretary, labda atafanikiwa!
 
aaah sorry nchi ya zanzibar nimefika mara 2......
pia nchi ya namanga, iramba, mpwapwa, kongwa, kondoa, sirari, nairobi,tukuyu, ikwiriri, mkuranga,mwanza, uk{ukerewe}

dadadadad nchi zote hizo, hapa jografia imelala.............
kama jografia imelala niambie, hizo nchi zipo kontua ngapi ya greniwichi? E to W ya ikweta?.hahahaaaa....!!. mia
 
To the best of my knowledge mkuu Boflo nadhani Dubai ni jiji ndani ya UAE na sio nchi.

Binafsi nishakanyaga anga za
China
HongKong
Kenya
India
South Africa
Ethiopia
mwisho kabisa Zanzibar kama ikijiengua kutoka JMT

hiyo HONG KONG NI NCHI?
 
Back
Top Bottom