How Many Countries Have You Travelled To??

Hata kama nimepita tu hiyo anga kwa kale kausafiri ketu ka ungo pia niitaje.
 
1 . Ureno
2 . Portugal
3. Netharland
4. Holland
5. Uholanzi
6. Spain
7. Hispania
8. England
9. Britain na
10. Uingereza

Umefika nchi ya Holland,Uholanzi na 'Netharland' pia wewe noma mkuu.Ila nimekubali wewe Ulaya iliyoendelea umeimaliza yote kasoro Germany..
 
Wenzio tupo tunamsuta huyu babu nakwambia kadi ni dela lako tu

shosti wangu @secretary,nimepata kidumu humu jf kinaitwa Kaizer hakitaki kabisa niende huko lol! naona kinataka kuwa ndoo sasa manake kina masharti ile mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Umefika nchi ya Holland,Uholanzi na 'Netharland' pia wewe noma mkuu.Ila nimekubali wewe Ulaya iliyoendelea umeimaliza yote kasoro Germany..

Babaake mie maneno mengine naijua vyema Geographia ya hii dunia!
Ambapo hata hapo Geographia nimekaa mwaka mzima, na mke wangu wa kwanza nilimuolea hapo.
 
U r killing me, lol

naomba kuwatambua TRIPle9, Judgement kwa kutembea nchi nyingi sana, lov u 2.
 
Last edited by a moderator:
1 . Ureno
2 . Portugal
3. Netharland
4. Holland
5. Uholanzi
6. Spain
7. Hispania
8. England
9. Britain na
10. Uingereza

halafu wewe, umechakachua mpaka nchi mwisho utasema umefika msumbiji na mozambique, africa kusini na south africa, misri na egipty,
 
shosti wangu @secretary,nimepata kidumu humu jf kinaitwa Kaizer hakitaki kabisa niende huko lol! naona kinataka kuwa ndoo sasa manake kina masharti ile mbaya.

Umeona eeh swtlo gfsonwin!....kidogo kidogo tu hata mbuyu ulianza kama mchicha lol
 
Last edited by a moderator:
Ok,nimefika Sudan pande za Tandika,Moroko pande za kinondon,Mombasa pande za Goms.....and so much more bila kuchafua visa.
 
me nimefika
nyang'holongo
nyang'homango
nyakurunduma
nyabulogoya
nyanchabhakenye
nyamhongolo!
 
In my dreams i have travelled lots of countries in borderless world. Keep the dream alive.
 
Malawi,Kenya,South Africa & Canada

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom