How Many Countries Have You Travelled To??

Tanzania,kenya,uganda,rwanda,burundi,congokinshasha,congobrazzavile,gabon,burkinafaso,ivorycoast,gabon,sudan,egypt,greece, holland,comoro,madagascar,belgium,libya, zimbabwe,zambia,botswana,southafrica,na nyinginezo nimesahau ok central africa pia
 
Canada (Toronto, Montreal) China " Olympic Beijing' .. honkong, Zanzibar, tanganyika, the mighty united states of America, UK, kenya, Thailand , Malaysia.. natamani kufika turkey one day..
 
1 . Ureno
2 . Portugal
3. Netharland
4. Holland
5. Uholanzi
6. Spain
7. Hispania
8. England
9. Britain na
10. Uingereza
 
I've been to 6 countries:

Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, Dubai and England...

Taja zako.....


  • :llama: :llama::llama::llama:
Nilikuwa nchi ya Dares-Salaam KwaWazaramo,Bagamoyo,Kaole,mlingotini,Kigoma,Tabora KwaWanyamwezi,iringa kwa wahehe,njombe kwa wabena, Tanga kwa Wadigo,Zanzibar Zambia, Syria ,Turkey, Egypt na sasa nipo luxembourg Boflo
 
Tanzania, Tanzania, Tanzania, Tanzania...................too sad!
 
nimetembea nchi nyingi sana....
Ilala
temeke
kinondoni
bunda
tarime
rorya
geita
bukombe
chato
mbeya
namtumbo

na hivi karibuni nina mpango wa kwenda nchi ya meru na loliondo........
 
Kaizer upo? nilipendekeza uoe mmoja wa twins wangu, ukaingia mitini! upo lakini? mbona umeshangaa nchi mkweo alizopita? kulikoni?

haaa yaani cacico mbona hata pendekezo lenyewe limenipita ilikuwa wapi mamito? mi apo nimeshangaa na bado nashangaa nina sababu yangu tu.....hebu lete maneno naona mnamsuta Bishanga kule

Nitamwambia gfsonwin asije huko kwen mdundiko lol
 
Last edited by a moderator:
nimetembea nchi nyingi sana....
Ilala
temeke
kinondoni
bunda
tarime
rorya
geita
bukombe
chato
mbeya
namtumbo

na hivi karibuni nina mpango wa kwenda nchi ya meru na loliondo........

Nina kajisafari ka kwenda Sychelles next wik, nna ticket moja loose uko tayari nikakupige mswaki wa macho accompany with me?
 
Mi nimefika mipakani
Kenya
Msumbiji
Uganda
Burundi
Malawi
Zambia
Rwanda
 
kenya
Rwanda
UGanda
EThiopia
Italy
the heaven of Earth USA......
Newyork...and DC kwa obama
Spain
 
Back
Top Bottom