How Mandela Sold Out Blacks!

Inawezekana Wazungu walimpa Mandela too much respect na kumnyenyekea ili na yeye alainike kwenye baadhi ya core issues.. National reconciliation ni moja kati ya issue ambayo bado inawasumbua blacks.. Ila nao blacks wamekuwa wavivu sana.. hawajitumi na wanataka wapendelewe.. Mwisho wake wengi wao wamehamisha chuki zao kwa foreigners ambao wanajituma kwa bidii..

Mkuu uko sawa, hawa watu niko nao ni wavivu na baada ya kuwaona na kuishi nao zule movies za akina bushmen,Tazan, etc zina reflect nature ya hawa watu. Hii imetuaffect foreigners wengine tunaokuja kusoma hapa maana maprof wameshajenga vichwani kwamba foreigners wote ni wazembe maana hapawanakuita mSA ukiwa tu mweusi na hivi ukiwa foreigner+mweusi=mSA hence low marks ,little knowledge. Inatucost kubadilisha hii kitu.

Lakini kuna mweupe mmoja yupo nao{naye ni SAn.}lakini ana tabia ambayo inamtofautisha kabisa. Nilikaa naye nikamuuliza juu ya familia yake akaniambiakuwa ni mixture ya England and Newzland .Jamaa ni responsible na alinieleza hata yeye pia anahisi hiyo cultural clash.
So, hawa waSA wanahitaji elimu ambayo itabadilisha namna yao ya kufikiria na hiyo tabia ya makelele ,kunywa sana na crimes. Katika education ndipo tunaweza kuilaumu system nzima ya South.
 
Kwa sababu gani unabisha mkuu?

Mandela age na kufungwa kulimpa wisdom
ambayo ni nadra watu wengine kuipata

angewanyang'anya makaburu mwisho wake nchi inge colapse

Tazama Zimbabwe walikuwa wanauza vyakula nje
baada ya mashamba kupewa waswahili sasa ni full njaa

kumbuka Nyerere alivyo nationalise na nchi ikapungua uzalishaji kwa zaidi ya asilimia 60

mashamba ya mkonge hadi tumeyauza tena

Nationalisation ni suicide....sio kwamba yuko conrolled

Jiulize kwa nini huwaoni Wa South wakienda kubeba box ulaya au marekani
na tena hawana visa?

Jibu ni kuwa wanaishi better kuliko waafrica nyingine
na uchumi umejengwa na wazungu
huwezi kubadili hivyo kienyeji......nchi ita colapse
 
I always suspected that.
Scientifically speaking, experiences zako zilizokuwa stored kichwani kwako ndio zinajenga personality yako na jinsi ulivyo na fikra zako zinajengwa kuanzia hapo. Pengine we are just paranoid lakini huezi uka-eliminate huu uwezekano kwa asilimia 100.

If u control inputs to a man's mind in this information age u automatically control outputs......ndicho kilichomtokea Babu yetu,hata hivyo amejitahidi sana,remember he is not a golden coin.
 
Mandela age na kufungwa kulimpa wisdom
ambayo ni nadra watu wengine kuipata

angewanyang'anya makaburu mwisho wake nchi inge colapse

Tazama Zimbabwe walikuwa wanauza vyakula nje
baada ya mashamba kupewa waswahili sasa ni full njaa

kumbuka Nyerere alivyo nationalise na nchi ikapungua uzalishaji kwa zaidi ya asilimia 60

mashamba ya mkonge hadi tumeyauza tena

Nationalisation ni suicide....sio kwamba yuko conrolled

Jiulize kwa nini huwaoni Wa South wakienda kubeba box ulaya au marekani
na tena hawana visa?

Jibu ni kuwa wanaishi better kuliko waafrica nyingine
na uchumi umejengwa na wazungu
huwezi kubadili hivyo kienyeji......nchi ita colapse

U re right lakini inafikiriwa kuwa angweza kufanya something smarter na kama ulivyosema alikuwa na wisdom.Nafikiri kuwa wisdom inakuja kwa kuona, kusikia kusoma na hata kutembea . Sasa hawa jamaa walimnyima vitu fritfull katika ambavyo vingemsaisaidia kujinoa.
hilo la kubeba box naona hawa jamaa hawajawa na ile power ya kutoka kwao,maana kutoka nje ya nchi mara nyingi sababu ni za elimu.
Kama wanaishi vizuri kwann kuna crime ya kumwaga SA?
 
Crime mbona Marekani kuna crime?
crime husababishwa na vitu vingi ikiwemo sheria za nchi
mfano kutokuwepo kwa adhabu ya kifo
na kingine ni availability ya silaha...

na influence nyingine mfano madawa ya kulevya

watanzania wanaoenda kupiga box ulaya na Marekani wengi tu hawana elimu
ya kutosha...
wa south hawaendi sababu maisha kwao ni super kuliko kwenda kupiga box Europe au U SA...
 
If u control inputs to a man's mind in this information age u automatically control outputs......ndicho kilichomtokea Babu yetu,hata hivyo amejitahidi sana,remember he is not a golden coin.
Kweli kabisa, maana mwanzoni kwene kifungo, yeye mwenyewe alikiri kwamba death was the possibility, na alijiandaa kwa hilo..mpaka kufikia kubatilishwa na kupata kifungo cha maisha, kisaikolojia aliona kama kafanyiwa feva, hiyo ni kibinadamu, na kibinadamu pengine alihisi deni la kusamehe.

Suala la kiuchumi kweli kwamba alishindwa kuoanisha ushindi / uhuru wa kisiasa na ule kiuchumi. Mbeki alijitahidi kufanya affirmative action kwa weusi japo impact yake haijulikani.
 
Tunatafuta mchawi sana wakati mostly mchawi wetu ni sisi wenyewe.
Jamaa alikua 'choc ice'.. hahaa..
Evidence kwamba alishindwa ku-transform maisha ya weusi is open for everyone to see.
Pengine angekuwa rais wa pili mweusi isingetia doa sana, wakosoaji wanasema yeye ndo alishindwa kuwa baseline ya kuwakomboa waafrika, alishindwa ku-set tone ya kuwawezesha kiuchumi.
 
Kweli kabisa, maana mwanzoni kwene kifungo, yeye mwenyewe alikiri kwamba death was the possibility, na alijiandaa kwa hilo..mpaka kufikia kubatilishwa na kupata kifungo cha maisha, kisaikolojia aliona kama kafanyiwa feva, hiyo ni kibinadamu, na kibinadamu pengine alihisi deni la kusamehe.

Suala la kiuchumi kweli kwamba alishindwa kuoanisha ushindi / uhuru wa kisiasa na ule kiuchumi. Mbeki alijitahidi kufanya affirmative action kwa weusi japo impact yake haijulikani.

Waafrika tuna challenge kubwa sana ya kuinvest kwenye education inayosaidia katika zama hizi.

Nchi nyingi wanashindwa kufanikiwa kwa kuna tabia fulani mtu anatakiwa kuwa nayo ili aendelee.
Chanzo kipo katika familia zetu(base).
Kwa mfano mtoto tangu akiwa mdogo anadevelop tabia ya kuangalia movies ambazo hazimsaidii badala ya constructive materials.

Nchi zilizoendelea kama Marekani wengi waliotoka wana vitu vingi in common ambavyo mtu yeyote anaweza kutoka akifatishia pale.

So,kumlaumu Mndela peke yake si vyema maana ni wangapi amewapeleka shule na baadaye wamepoteza muda tu.

'IT IS THE CONSCIOUS POSITIVE ACTION OF EVERYONE SEPARATELY THAT WILL SUM UP TO DEVELOPMENT OF ANY COUNRTY'

Ukiangalia India kwa mfano kuna vitabu vingi sana vinazungumzia success ndio maana wanaoamua kutoka wanatoka coz they they pay the price to be smart.
 
Jamaa alikua 'choc ice'.. hahaa..
Evidence kwamba alishindwa ku-transform maisha ya weusi is open for everyone to see.
Pengine angekuwa rais wa pili mweusi isingetia doa sana, wakosoaji wanasema yeye ndo alishindwa kuwa baseline ya kuwakomboa waafrika, alishindwa ku-set tone ya kuwawezesha kiuchumi.

Hakuna alichoshindwa
Yeye alijipa jukumu la kusimamia 'transfer of power' peacefully
miaka minne asingeweza kufanya kila kitu
hilo halikuwa jukumu lake

na baada ya yeye kutoka hakuna anaewazuia wa South kufanya wanayoona ni sahihi now
 
Kamwe usitegemee kila ujifanyacho watu wote watafurahishwa na nacho- wako watakaoridhika na wako ambao watakuwa tofauti kwenye anya negotiation kuna give and take huwezi ukapata vyote ama sivyo hiyo itakuwa sio negotiation. Madiba amefanya aliyoweza tena kwenye wakati mgumu sana, anastahili pongezi na kuachwa apumzike kwa amani kwa hizi siku zake alizobakiza duniani- ni kazi ya waliopo madarakani sasa kujenga uchumi kwani hawana jingine linalowatatiza zaidi ya hilo!! tofauti na enzi za Madiba alihitaji kuleta uhuru then kujenga kuaminiana baida ya raia, usawa, maelewano nk
 
Hakuna alichoshindwa
Yeye alijipa jukumu la kusimamia 'transfer of power' peacefully
miaka minne asingeweza kufanya kila kitu
hilo halikuwa jukumu lake

na baada ya yeye kutoka hakuna anaewazuia wa South kufanya wanayoona ni sahihi now
first impression ni muhimu.si rahisi kufanya kila kitu obviously.
People like Malema wanazungumzia hilo la kushika njia za kiuchumi, na matokeo yake wametupwa nje ya ANC.
Mbeki naye alijitahidi sana kuweka sheria kuzingatia uwiano makazini, kushindanisha tenda na sehemu nyingine za maamuzi, lakini nae akakurupushwa kabla hata hajatimiza ngwe yake na nafasi yake kupewa bwana zipu-nje.
Pragmatism ya Mandela was questionable..yeye alilenga zaidi kujenga image ya rain-bow nation badala ya kuchafuka mikono na kushughulikia matatizo ya msingi na ndio maana performance yake sote twaijua..Nobel Prize winner huku wananchi wake wakifa kwa ukimwi na kuishi kwn nyumba za maboksi.
 
Pamoja na kupigania uhuru wa SA, Mandela aliweza kuingia negotiation na wazungu hata bila ya ridhaa ya ANC, wazungu walimtoa Robben Island kama wiki moja na shei kable ya ma comrades wake kujua na hapo walianza kumpumbaza.

Walimtembeza Cape Town akishangaa coz alikuwa ndani for all that time then wakaanza kumhudumia ghafla kama mfalme jamaa aliingia mtegoni bila kujua!

Kwa taarifa yenu, siku anatoa hotuba ya ushindi, mabeberu walimuandalia hotuba, macomrade wa ANC wakiongozwa na Oliver Tambo walimwekea Mandela tight ikabidi waichane ile hotuba na asome ambayo walimuandalia wao coz ile hotuba ya mabeberu ilikuwa inawafavor wazungu!

Kimsingi wakuu nilitembelea Robben Island February mwaka huu nikajifunza mengi sana hususnai kuhusiana na Mandela nikaanza kusoma kitabu cha 100 of ANC struggle kuna mambo mengi na leo nimemaliza kusoma kitabu cha Julius Malema AN INCONVENIENT YOUTH hahahah! Mandela alichemsha mbaya!

Amewauza weusi na kuanzia leo nimeanza kumsupport Malema though wamemtimua but he is actually talking what people like Steve Biko, Robert SObukwe and the other comrades through the Freedom Chater were fighting for!
 
upumbavu mtupu
FREEEDOM cHARTER ilikuwa based kwenye socialism na communism ideology
by the time Mandela anatoka prison hizo ideology zilisha fail dunia nzima

Mandela was smart no to embrace failed ideology...
otherwise nchi ingekuwa kama Zimbabwe

huyu alieandika humu ni extremist tu

I support you absolutely !
Sera anayoongelea ni ile ile ya Mugabe ambayo imeua kabisa uchumi.
 
Back
Top Bottom