How long to wait?...

my dia kama umepata mtu wa kufanya n u had been diyng for it just do for love maisha yenyewe mafupi mpz,but kinga ni bora sana,dnt quote mez

huyo utakayefanya nae atafanya for love pia???? nadhani hapo ndo panakuwaga pagumu mpaka mtu unanza kujiuliza swali la msingi la mtoa mada MJ1
 
utappata tu mpz usijali mama mbn wapo wengiiiiii tu?time willtell just live it with God and pray daily ubavu uko tu mama,kila kitu na wakati wake
Eh Pearl mamii umekwenda mbali!! But thanx sijampata na baso siamini kama nitajampata tena.
 
Twinuska!kwani wats love?a strong positive emotion of regard and affection;so kama zis is love zen this is it!
huyo utakayefanya nae atafanya for love pia???? nadhani hapo ndo panakuwaga pagumu mpaka mtu unanza kujiuliza swali la msingi la mtoa mada MJ1
 
Si umesikia Masaki na Fidel wakilalamika kuwa huwa wanayeyushwa so nina amini kuwa sababu za sijajiandaa, niko juani n.k ni kwa sababu either wanaona bado ni mapema sana kukupa au wanahisi utakimbia lolh
 
Twinuska!kwani wats love?a strong positive emotion of regard and affection;so kama zis is love zen this is it!

kama hayo ni mutual sawa......isije ikawa mmjoa ndo upande mmoja afu mtu aishie kusema...
'alinitumia, kaniharibia maisha yangu' istead of 'mlitumiana'....
 
MJ1 vipi tena hapo kwenye red mamaa?? (some broken hearts never mend but I believe yours will)
hahahha twinushka wake mtu dont mind me nimeshayazoea mamii. Cha muhimu ni kuwa life goes on with ma baby boy, namshukuru MUNGU
 
Si umesikia Masaki na Fidel wakilalamika kuwa huwa wanayeyushwa so nina amini kuwa sababu za sijajiandaa, niko juani n.k ni kwa sababu either wanaona bado ni mapema sana kukupa au wanahisi utakimbia lolh

kweli najiuliza maswali mengi kimoyo moyo hapo na najipa majibu mwenyewe (sijui ya kweli au ya uongo bt acha ya baki hivo for the time being)
 
My dia inategemea hata cku ya kwanza tu kama mazingira yanaruhusu(wengi watadhani kicheche)but it doesnt make any difference hata kama mkikaa miaka 10 at the end of the dei mta do 2,pple hawataki kusema ukweli but weeeengi wamefanya in less than a month time of friendship,yani watu wanakutana sehem wanakubaliana in 30mins maongezi yao utasema walikutana mwaka jana,kumbe wizi mtupu.tanzania bila ukimwi inawezekana

msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Watu oooh!
Lakini hapa, zile za Kudumisha mila hazihusiki
 
hahahha twinushka wake mtu dont mind me nimeshayazoea mamii. Cha muhimu ni kuwa life goes on with ma baby boy, namshukuru MUNGU

See how lucky you are my dear....????
you have all the reasons to live happily....keep smiling sweetheart!!!
 
Wapendwa
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?

Nauliza tu!!

Kwa nini usubiri? Kwani umeshurutishwa na afande Chache kumkubali huyo BF au GF wako. Kwa upande wangu, kila wakati ni muda muafaka wa kupata chai ili mradi hakuna anayekwazika!

Hivi kwa nn dhambi ya kuzini mnaiona kubwa sana kuliko zingine 9 maana amri za Mungu zipo 10 hata ukisema uongo ni dhambi sasa kwa nn mtu aliye zini na aliye sema uongo anaangaliwa kwa jicho baya aliye zini?

Hii ni kubwa kwa sababu inahusisha kila kiungo cha mtu pamoja na roho wake mtakatifu.

my dia kama umepata mtu wa kufanya n u had been diyng for it just do for love maisha yenyewe mafupi mpz,but kinga ni bora sana,dnt quote mez

We dada ni mkweli sana. Ndo maana jana tulikuombea upone haraja ili urudi tuendelee kufaidi vitu vyake. I hope the parental guidance helped kwenye tiba ya kiuno.

Ninayoijua tamu kuliko zote ni kufanya bila date. Lakini hiyo inataka umakini wa mwanaume kukumbuka kuwa uwezekano upo, hivyo awe anatembea na zana. Na ndio maana naunga mkono 100% ile practice ya kuweka maboksi ya kondom katika zile corridor kwenye baadhi ya mabweni ya chuo.

Enzi za kutafuta mshikaji unatembea ukiwa fully loaded. Hakuna muda hata kwenda ku-pee! Ila ukweli unabaki pale pale kwama C ni muhimu sana vinginevyo nikujichongea jeneza!
 
Si umesikia Masaki na Fidel wakilalamika kuwa huwa wanayeyushwa so nina amini kuwa sababu za sijajiandaa, niko juani n.k ni kwa sababu either wanaona bado ni mapema sana kukupa au wanahisi utakimbia lolh
kwani mkikulana haiwezekani relationship isi-work, na kila mtu akachapa lapa kivyake?

It take 1/2 hr to feel attracted....na mnaweza kula dudu ndani ya 1/2hr tu. lakini it takes time to real feel someone na kuona ni relationship material..........unacheck quality na mambo mengine.
 
hakuna hivyo nowdays Twinuska kila mtu kamtumia mwenzie bana,hizo ni za zamani
kama hayo ni mutual sawa......isije ikawa mmjoa ndo upande mmoja afu mtu aishie kusema...
'alinitumia, kaniharibia maisha yangu' istead of 'mlitumiana'....
 
"Sex can lead to nasty things like herpes, gonorrhea, and something called relationship." by Ali G

Hii inahusika sana! - mnaweza kujiita GF/BF kama your below hazijakusika?
 
kama hayo ni mutual sawa......isije ikawa mmjoa ndo upande mmoja afu mtu aishie kusema...
'alinitumia, kaniharibia maisha yangu' istead of 'mlitumiana'....

Hiyo sentensi kanichezea kisha kaniacha, kaniharibia maisha yangu huwa inanichekesha sana! :)
 
Unataka ni - prove beyond reasonable dought au? :)

hahaaa kwa hilo kwa kweli naomba tufanye hii ni exception case huna haja ya kufanya hivo

Hiyo sentensi kanichezea kisha kaniacha, kaniharibia maisha yangu huwa inanichekesha sana! :)

hahaaaa as opposed to ' kutumiana na kuharibiana maisha eeeh'
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom