How long to wait?...

where is my Mrs Nyamayao with her Signature when we need her the most?
 
Nyie nanyi mnakoseaga lol hapa huhitaji kutuma application letter amah!! Anza kuchachandua tangu asubuhi by the time mnakutana mwenyewe anabembeleza. Ahh kumbe nimeuliza swali ehee niambie Masaki umesharudi na ushauri sweetie?

Jamani ushauri si ndio huo. Halafu wewe ni ''virus'' hapa JF kwa sababu wiki iliyopita hukuwepo wala sikuwa na mada nyingi za kuchangia, nikawa nafanya na kazi za bepari wangu! Sasa leo naona umenikamata tena!

Heeh hivi mada ilikuwa inasemaje tena vile? :)
 
wakati gani mwafak awa kuzini?? ukimpata mzinifu mpya
 
Jamani kwa dunia ya sasa Mungu aturehemu.Mimi binafsi nina evidence.Wakaka zaidi ya 20 walionijia na gia ya KUOA.nilipowaambia mie nimeokoka si-DO kabla ya ndoa nakuhakikishieni wote walinikimbia.
hawakuwa siriaz hao!MTU AKIJITUTUMUA KWELI KWELI HUCHOMOKI!

nina mfano halisi rafiki yangu mzanzibari,alimpenda sana binti wa kilokole kanisa liko msasani hapa...jamaa ILIBIDI AOKOKE KAMA MWAKA HIVI!jamaa aliokoka na akawa anaimba mapambio kama pasta...!SIKU YA SIKU JAMAA AKAMVUA CHUPI.......NA ULOKOLE AKAUACHIA HAPO HAPO!..huo ni mfano halisi kabisa:D:D:D
 
My dia inategemea hata cku ya kwanza tu kama mazingira yanaruhusu(wengi watadhani kicheche)but it doesnt make any difference hata kama mkikaa miaka 10 at the end of the dei mta do 2,pple hawataki kusema ukweli but weeeengi wamefanya in less than a month time of friendship,yani watu wanakutana sehem wanakubaliana in 30mins maongezi yao utasema walikutana mwaka jana,kumbe wizi mtupu.tanzania bila ukimwi inawezekana
 
Jamani ushauri si ndio huo. Halafu wewe ni ''virus'' hapa JF kwa sababu wiki iliyopita hukuwepo wala sikuwa na mada nyingi za kuchangia, nikawa nafanya na kazi za bepari wangu! Sasa leo naona umenikamata tena!

Heeh hivi mada ilikuwa inasemaje tena vile? :)
Jamani mbona uwii nimeinunua kesi. Pole
 
wakulu ngoja kwanza

hivi Chrispin yuko wapi?

halafu kwa vile kila mchangiaji haoa ameshamega/megwa ( I mean ambaye bado anyooshe kidole), tupeana uzoefu

je ilikuchukua muda gani kumega/gwa mara ya kwanza? experience is the best teacher

Mimi ilikuwa karibu mwaka:(
 
Hahaahahh Kaizer unataka kufukuza watu hapa jamvini nimekustukia lol!! na zile za long distance zinahesabiwa? lol
 
Hapo kwenye red hapo, honestly that statement TURNS ME OFF COMPLETELY!!! Naweza nisimtafute tena! Hiyo ni dalili ya mwanamke ambaye hajiamini katika suala zima la usafi wa mwili wake na hata nguo zake za ndani! Excuse my French!! :)

Hehehe ndo mwanamke anatakiwa kuwa tayari wakati wowote sasa anasema hakujiandaa kwa kumegwa anataka ajiandaaje sasa hajasafisha kunako? Kwani gemu inapigiwa mchangani? Mwanamke anatakiwa kuwa msafi wakati wowote sio wa gemu tu.

hapa hamna aliyezipa dhambi rank Fide, makatazo yote kwenye amri za Mungu ukiyafanya ni dhambi. kama hili la kuzini

Hii ishu nyie binadamu ndo mnarank dhambi eti kuzini ndo dhambi kubwa si umeona hapo mnasema No sex before nn.. lakini uongo ruksa any time jamani kuonja kabla ya ndoa ni muhimu lazima uonjwe mkisha ridhiana mnaenda kwa mchungaji au faza anaweka mambo sawa.
 
Hahaahahh Kaizer unataka kufukuza watu hapa jamvini nimekustukia lol!! na zile za long distance zinahesabiwa? lol

wala sio nia yangu mpenzi...ni kupeana uzoefu tu..za long distance hapana tunataka ile contact, macho kwa macho kidude kwa kidude....
 
wakulu ngoja kwanza

hivi Chrispin yuko wapi?

halafu kwa vile kila mchangiaji haoa ameshamega/megwa ( I mean ambaye bado anyooshe kidole), tupeana uzoefu

je ilikuchukua muda gani kumega/gwa mara ya kwanza? experience is the best teacher

Mimi ilikuwa karibu mwaka:(

Wa kwanza kummega katika maisha yangu wala hakuwa girlfriend wangu. Na hata nilipokuja kuelewa dhana ya girlfriend, nilikuwa namega kwanza halafu intimacy inajengeka gradually hadi anakuwa girlfriend. How long did it normally take between kufahamiana hadi kimego, well, tofauti kubwa zilikuwepo kwa kweli, yupo mmoja siku hiyo hiyo tulipeana company kwenda club baada ya matokeo ya UE, tukapombeka kiaina, tuliporudi pamoja ni room mate alipigwa exile, yaani spontaneous kihivyo bila kuomba wala nini. Baada ya hapo ndio akawa girlfriend wangu kwa miaka 2. Mwingine ilichukua mwezi au zaidi. Lakini sijawahi kufeki ulokole, I have always been honest with what I believe in.

Ila jamani KONDOM, KONDOM, KONDOM kumbukeni hilo wote mnaotaka kumega au kumegwa, haijalishi mmesubirishana miaka mingapi.
 
my dia kama umepata mtu wa kufanya n u had been diyng for it just do for love maisha yenyewe mafupi mpz,but kinga ni bora sana,dnt quote mez
Wapendwa
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?

Nauliza tu!!
 
Wapendwa
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?

Nauliza tu!!

...there's no time limit, as long as matamanio yatapozidi busara basi lisilotazamiwa huwa...!
 
Ni tamu sana mkifanya on the first date! :)

Ninayoijua tamu kuliko zote ni kufanya bila date. Lakini hiyo inataka umakini wa mwanaume kukumbuka kuwa uwezekano upo, hivyo awe anatembea na zana. Na ndio maana naunga mkono 100% ile practice ya kuweka maboksi ya kondom katika zile corridor kwenye baadhi ya mabweni ya chuo.
 
my dia kama umepata mtu wa kufanya n u had been diyng for it just do for love maisha yenyewe mafupi mpz,but kinga ni bora sana,dnt quote mez
Eh Pearl mamii umekwenda mbali!! But thanx sijampata na baso siamini kama nitajampata tena.
 
Wanasema eti kawahi sokoni karibu wanafunga Mr asije lala njaa.

Huyu jamaa almanusura azimie alikuwa kapatwa na kiu ya ajabu yupo kurekebisha koo lake.

mimi wewe shemeji yangu katika siku ulizonifurahisha kwa mapoint ni leo...kila ulichosema ni point nakubaliana na wewe kabisa....uko right kupitiliza..big up.....nini kuzungushana bana
 
Hii ishu nyie binadamu ndo mnarank dhambi eti kuzini ndo dhambi kubwa si umeona hapo mnasema No sex before nn.. lakini uongo ruksa any time jamani kuonja kabla ya ndoa ni muhimu lazima uonjwe mkisha ridhiana mnaenda kwa mchungaji au faza anaweka mambo sawa.

naona hatujaelewana bado......anyway tuendelee tutyasettle huko mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom