Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
kwa wote ambao hamkunielewa, nimesema for as long as neccessary nikimaanisha kuwa, mimi kama mke wa mtu, naweza kukaa bila hiyo kitu kwa muda wote ambao my dia hubby hayupo karibu na mimi, be it i week, one month, one year and even ten to 20 years. Na pia kwa wakati wote ambao nadhani haiwezekani kufanya hivyo kwa sababu ambazo haziwezi kuzuilika. sasa mmeelewa? hivi walimu wenu walikuwa wanalipwa kiasi gani kwa kufundisha watotro wazito hivi?
Ndo maana nilisema wanahitaji twisheni au waende QT binamu (kuna mtu kasema hii sehemu nimecheka)