How kan i know.....

Huwezi kujua kama anakupenda. Shukuru Mungu yuko busy, msaada hapo ni wewe pia kuwa busy.

Kama wako ni wako tu, na kama si wako hata asipokuwa busy na kutimiza miadi, bado si wako atapeperuka anytime 't'.

great FM..
angekuwa ni mume ungekuwa na haki ya kumfuata hata huko ofisini.. hivyo basi, jitahidi kutambua commitment yake kwako. Yaani je moyo wake uko kwako au??
Mpe nafasi,usiwe na haraka sana
 
akufukuzaye hakuambii toka!! Sasa unangoja nini???????

Kama mwana dada fungasha virago vyako utizame mbele kwa kujiamini, nyuma kwa tahadhari na ulipo kwa matumaini ya kupata mwingine.
susy
mkuu,nani kakuudhi pole?????? Naona unalia,avatar yako inatoa chozi.
 
nitajuaje kama ananipenda?mpenzi wangu kila leo yu busy hata iwe kipindi cha holiday ukimpigia simu atakupa sababu mara ntakuchek mida,mara nipo kwenye kikao,mara nipo busy mara nyingi huwa naelewa lakini amezidi kwani anaweza kukuahidi atakuchek mida na asifanye kama alivyo ahidi,je huyu mtu ni mkweli au?naomba msaada wenu jamani....

thanx
1.kazi kwanza,mapenzi baadae ebo???
2.kukupata kama wewe na kupata kazi ipi rahisi????
3.acha wivu tulia mkuu.mambo mazuri hayataki haraka.hao ni slow moving,wanapenda taratibuuuuu,akikolea mwenyewe utashangaa.
 
Nitajuaje kama ananipenda?mpenzi wangu kila leo yu busy hata iwe kipindi cha holiday ukimpigia simu atakupa sababu mara ntakuchek mida,mara nipo kwenye kikao,mara nipo busy mara nyingi huwa naelewa lakini amezidi kwani anaweza kukuahidi atakuchek mida na asifanye kama alivyo ahidi,je huyu mtu ni mkweli au?naomba msaada wenu jamani....

THANX

Hapo huna chako. Tunasubiri post yako ya kutafuta mchumba.
 
chukua muda na mchunguze taratibu, huenda keshapata mwingine anayemkeep busy. Angalia maisha yako kwa sasa na ujiandae kwa lolote. Mimi yalinikuta hayo hayo mwanzo anakuwa na muda kila siku baada ya kazi lakini ghafla akawa anasingizia yuko busy kila siku. Nilichunguza na kukuta kapata mtu mwingine.....nikachapa lapa!
 
akufukuzaye hakuambii toka!! sasa unangoja nini???????

kama mwana dada fungasha virago vyako utizame mbele kwa kujiamini, nyuma kwa tahadhari na ulipo kwa matumaini ya kupata mwingine.

kama mwana kaka?
 
Nitajuaje kama ananipenda?mpenzi wangu kila leo yu busy hata iwe kipindi cha holiday ukimpigia simu atakupa sababu mara ntakuchek mida,mara nipo kwenye kikao,mara nipo busy mara nyingi huwa naelewa lakini amezidi kwani anaweza kukuahidi atakuchek mida na asifanye kama alivyo ahidi,je huyu mtu ni mkweli au?naomba msaada wenu jamani....

THANX

Yupo busy toka mwanzo wa mahusiano au amechange ghafla???
Mchunguze kama kweli ana mambo yanayomweka busy.....

Ila mi nionavyo huo ni mwanzo wa kupigwa chini taratibuuuuu......
 
1.kazi kwanza,mapenzi baadae ebo???
2.kukupata kama wewe na kupata kazi ipi rahisi????
3.acha wivu tulia mkuu.mambo mazuri hayataki haraka.hao ni slow moving,wanapenda taratibuuuuu,akikolea mwenyewe utashangaa.

Slow lover,hahaha
niko kwenye category hiyo,...
kumbe ukisema niko busy ndo njia rahisi ya kumtosa mtu eh?
 
Yupo busy toka mwanzo wa mahusiano au amechange ghafla???
Mchunguze kama kweli ana mambo yanayomweka busy.....

Ila mi nionavyo huo ni mwanzo wa kupigwa chini taratibuuuuu......

Yuko busy kweli we hutaki?
 
chukua muda na mchunguze taratibu, huenda keshapata mwingine anayemkeep busy. Angalia maisha yako kwa sasa na ujiandae kwa lolote. Mimi yalinikuta hayo hayo mwanzo anakuwa na muda kila siku baada ya kazi lakini ghafla akawa anasingizia yuko busy kila siku. Nilichunguza na kukuta kapata mtu mwingine.....nikachapa lapa!

Hii tabia ya kujikwaa then unadhani kila mtu hua ana jikwaa hapo hapo ni mbaya sana!
Jamaa kasema yuko busy,anasaka noti,....no money no honey,...
nyie mnasema ana mtimua kweli?

Asipo kua busy afu akaanza kumuomba bidada hela,...muanze tena oooh,wakaka wanaomba sana hela
crappppp,...

Endelea kua busy chalii
 
Hapo huna chako. Tunasubiri post yako ya kutafuta mchumba.

Acheni kumdanganya binti wa watu bure,...
don't quit good in search for the best,when you realize that what you had was the best,
the better will have found its place!

Utakosa kila kitu,we kaa hapo hapo,jamaa akimaliza ubize wake muanze kula maisha si hamtaki kuombwa hela eh
 
Huwezi kujua kama anakupenda. Shukuru Mungu yuko busy, msaada hapo ni wewe pia kuwa busy.

Kama wako ni wako tu, na kama si wako hata asipokuwa busy na kutimiza miadi, bado si wako atapeperuka anytime 't'.

IQ yako ni 100% FA,...
una fikiria sana,wengine wamekaa kulaumu tu kila kitu!
Jamaa asipo kua busy kutafuta hela akaja kumuomba mdada,...
kesho utasikia tena,...wanaomba sana kutuzidi duh
 
tatizo kuna watu hawapendi kukubali ukweli, inawezekana kuna kila dalili kama huyo jamaa kamchoka mdada lakin mdada anajifanya haoni kama kachokwa analazimisha....
ukitaka kuhakikisha, mchunie wiki hata mbili bila sim wala nn af msikilizie....usishangae na yeye asikutafte wala nn....:A S 465:
mpige chini kabla hajakumwaga hadharani.
 
kwanini unawaza mdada kuchokwa na sio kwamba ni kweli jamaa yuko busy
ila mdada yeye kakaa tu so mda mwingi anawaza mapenzi?
Nategemea mumshauri otherwise,awe busy na yeye,....
 
tatizo kuna watu hawapendi kukubali ukweli, inawezekana kuna kila dalili kama huyo jamaa kamchoka mdada lakin mdada anajifanya haoni kama kachokwa analazimisha....
ukitaka kuhakikisha, mchunie wiki hata mbili bila sim wala nn af msikilizie....usishangae na yeye asikutafte wala nn....:A S 465:
mpige chini kabla hajakumwaga hadharani.

Inawezekana kabisaaaa..
 
Anayekupenda atakujali, atakuheshimu na kukusikiliza.
Anayekupenda hawezi kumaliza siku nzima bila kukujulia hali na hiyo ni kwasbb muda mwingine utakuwa akilini mwake.
Anayekupenda hapendi kuona unakosa furaha kwa namna yoyote ile.
Hapendi kuona upo matatizoni. Hata kama hana uwezo ya kukusaidia atakufariji.
Anayekupenda utamjua tuu wala haina ubabaishaji.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom