How I imagine people in JF

You know here in jf kila mtu anatumia anonymous names..so its hard to know people this is how I imagine people walivyo in really life excluding my cupcake since I know him lol!...

Yo yo –Fun guy kama Dave chappele ila inaelekea ni mfupi hivi around 5”5..una kama afro hivi..alafu mgomvi.

Kuhani—this dude man namfananisha na Jesse Jackson sr ila urefu wake kama jesse jr…mtu ambaye hapendi kushindwa very serious hapendi utani ni yeye na news na anaonekana anapenda sana kusoma magazeti miwani ipo chini ya puwa….mnokoooo.

Mwanakijiji---yaani ni kazee Fulani hivi kafupi kama eyebrows nyingi alafu zina mvu,yaani namfananisha mwanakijiji the way alivyo ufupi wake kama Raisi mstaafu Alhaji mwinyi hivyohivyo…mpaka anavyoongea

YNIM—Huyo hana tofauti na Martin Lawrence,character and image.

Penny—Sijajua kama Penny ni demu au men…ila I feel like ni demu huyu mdada anaonekana ni mtaratibu sana she is around 5”4caramel complexion ,big brown eyes,long hair..na anaongea taratibu sana and a good listener.

Balantata---My friend Balantata namfananisha na Morgan freeman…hivyohivyo siyo mtu anayependa kuongea sana..ni mtaratibu.

YE---Huyu ni namfananisha na Yule kocha wa Bears…anaonekana ni mfupi around 5”4 alafu ana nywele kafuga na ndevu…ana kitambi kidogo anafu mbishi sana.

To be continued….

Kelly...

You've some serious issues with urefu wa watu, how short are you? 5.6"? Huh
 
Duuh nimeipenda hii thread,ni kitu ambacho huwa nakireflect nikiwa nasoma posts za wana JF.
Mbona hujasema FMES anaonekanaje?

LOL!....huyo namfananisha na mzee Macelela mwenyewe ila huyu anaonekana bitoz sana wala mabitoz wa vijiweni wanaopenda ubab-kubwa....
 
Kelly...

You've some serious issues with urefu wa watu, how short are you? 5.6"? Huh

Oh yeah i am actual 5"5 which is a perefet height for awoman is ok...but for a guy mmh ni dwarf kwa kweli and i do have problem with short people umejuaje?lol!
 
Kelly, Invisible is a woman...like u n me (maybe).


Mmh i didn't know that...all this time i thought invisible ni mwanamume atii duh basi nilikuwa namfikiria vibaya nikaanza imagine ana look kama michuzi ila yeye a little lighter...
 
Mmh i didn't know that...all this time i thought invisible ni mwanamume atii duh basi nilikuwa namfikiria vibaya nikaanza imagine ana look kama michuzi ila yeye a little lighter...

you find michuzi to be handsome or what?
 
hahaha no way cupcake..besides the only man that i find to be handsome is only you cupcake....yes and i said it very loud....you r my handsome man....

No, I am your gorgeous hunk of a man...and don't forget you are my drop dead gorgeous Cupcake
 
Yo yo –Fun guy kama Dave chappele ila inaelekea ni mfupi hivi around 5"5..una kama afro hivi..alafu mgomvi.

Kuhani-this dude man namfananisha na Jesse Jackson sr ila urefu wake kama jesse jr…mtu ambaye hapendi kushindwa very serious hapendi utani ni yeye na news na anaonekana anapenda sana kusoma magazeti miwani ipo chini ya puwa….mnokoooo.

Kelly kuna watu wakisikia hayo majina, vita yake huwezi ihimili, yaani itakwenda personal vibaya mno.

Na wewe unakandamiza kwa kum-massage massage now and then.
 
Kelly kuna watu wakisikia hayo majina, vita yake huwezi ihimili, yaani itakwenda personal vibaya mno. Hasa Huyo Kuhani, some people wako obsessed naye.

Na wewe unakandamiza kwa kum-massage massage now and then.

well Mama hao watu wakija na personal attacked watakuwa wanachemka...i will say ndiyo hao ambao wako too serious in life ambao hawajui kuwa in real life siyo lazima uwe serious kuna time of making jokes and have fun unless otherwise watakufa kabla ya siku zao na pia ni kujizeesha....

Me simkandamizi mtu actual ila that is how i imagine them.....

BTW are those your kids?....they are so beautiful.
 
Cupcake...umemsahau rafiki (wakati mwingine adui yangu) yangu Pundit aka Critic....nahisi lazima jamaa atakuwa mweusi sana....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom