How good is your memory

Aisee nimeifanya hii test hadi mwisho. Kweli ni koboko...! Pia ukiangalia mwisho kabisa inakunyesha sababu mbali mbali za kwanini umepata maksi hizo ulizopata.

Hawa jamaa wapo so good in their research. Yaani wameweza kustudy effect ya hizi test kwenye waizi (Bulgers) na uwezo wao wa ku-detect alarms, uwezo wa Real Estate Agents katika kukumbuka ukubwa wa nyumba e.t.c.

Hapa ndio unaweza ukaona tofauti ya Mzungu na mwafrika, lakini pia uwezo wa wenzetu katika kufanya research na matumizi ya researches. Baadhi ya vitu vinaonekana kama ni vya kijinga lakini vina impact kubwa sana mno...!
 
Back
Top Bottom