How does Hollywood movies filiming get done?

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Wadau, kama swali linavyojieleza hapo juu.
Naomba niwe specific kidogo, mi nasikia wenzetu(ulaya/marekani) huwa wanafanya-filming kwanza na baadaye wanaingiza sauti kwenye picha.
Swali ni kwamba, kwenye movie kuna matukio mengi tena tofauti sana, sasa hawa jamaa wanawezaje kwanza kuigiza hizo sauita na baadae kuziingiza(mixing) kwenye picha?
Just curious!
 
I think they probably use Adobe After Effects which can be used for Film Making,audio editing,synchronizing and even all those video effects are pretty much made by After Effects.
 
nina shaka sana na hiyo kitu kwakuwa inategemea na movie lakini nimekuwa naangalia vipindi kibao vinavyoonesha wanavyo tengeneza movies na ninaona kunakuwa na mics na sound engineers kwa ajili ya kuchukua sauti sasa nadhan kama sauti zisinge kuwa zinachukuliwa kwenye tukio nadhan wasingekuwa wanaangaika na boom mics wakati wa kuchukua picha.
Kuna sauti zinaongezwa studio lakini dialogues na sauti nyingi zinachukuliwa directly na video.
Halafu jambo lingine kuna softwares unakuta imekuwa designed purposely kwa ajili ya matumizi ya kampuni husika kwa ajili ya production ya movie flani ili kukidhi mahitaji yao.
Wenzetu wako mbele sana

Over 275 people - including computer animators, software developers, and
engineers - spent three years to create
Shrek.

DreamWorks used a software known as PDI, which created Shrek, mostly DreamWorks uses its own proprietary software (like its own
Fluid Animation System) for its animated
movies. However, for some elements it
also took advantage of some of the
powerhouse animation programs
available to the public. This is particularly true with Maya, which PDI used for most
of its dynamic cloth animation and for the
hair of Fiona and Farquaad. Photoshop
was also used quite a bit in the art
department. There was also a touch of
Softimage used in the movie. But most of the software used was PDI exclusive,
created by its research and development
team.
 
What about animated movies/pictures, is it not the same as ordinary(talkin about sound/dialogues)?
Na je, zile movies unazoweza kutazama kwa kuchagua lugha zinatengenezwa vipi?
 
Si kwamba wanarekodi sauti za movie separately, issue ni kuwa hollywood wanarekodi movies zao kwa kutumia films, so sauti hurekodiwa on the scene ila hutumia vifaa tofauti vya sauti mbali na film equipment krekodi sauti, so wakiwa studio wanafanya voice editing kwa ku-synch voice and film images! Labda tu cartoon animations ndio wanarekodi sauti (voice overs) wakiwa studio
 
What about animated movies/pictures, is it not the same as ordinary(talkin about sound/dialogues)?
Na je, zile movies unazoweza kutazama kwa kuchagua lugha zinatengenezwa vipi?

wanatumia njia inaitwa automated dialogue replacement.
Katika hii kuna njia inaitwa dubbing ambayo wanaingiza sauti za watu wanaongea lugha tofauti. Mfano katika recording walitumia english, sasa wanataka kuongeza na kifaransa kwa hiyo wataweka watu wanaongea kifaransa hii inafanyika studio.
Hata kwenye magames wanatumia njia hii.
Pia hii njia inatumika kurekebisha sauti ambazo zili recordiwa vibaya wakati wakurecord kwenye location
 
Asante kwa information, ila hii lazima itakuwa kazi ngumu kweli.
Kurudia kila neno alilosema mwenzako inakuwa si mchezo!.
By the way, hao jamaa wanao ingiza sauti katika lugha tofauti nao watakuwa kwenye list ya washiriki(cast)?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom