unampeleka kwa mama anayejiheshimu wa jiran amwambie
unampeleka kwa aunt yake
Nakubaliana na wewe Rose1980, By the way, kwenu huyo mtoto hana mama mkubwa au mdogo mpaka baba afanye hiyo kazi?? Inamhusu nini baba kuyazungumza yote hayo kwa bintiye? Mbona kama napata mashaka ....
Nimegombana na aunt zake, na majirani siwaamini
mmmh, mnaishi laboratory wa wapi? Iko too much of a lab experment.