How do you patent an idea in Tanzania?

Kwanza nakupongeza MMKJJ. Kitendo tuu cha kuwa na idea ya maendeleo ya taifa letu kinahitaji pongezi. Wewe ni mtu tajiri sana kufuatia maneno ya Nyerere 'Umasikini mbaya kabisa ni umasikini wa fikra'. Sio siri wabongo wengi bado tuko umasikini wa fikra. Mimi naamini tanzania itakombolewa kiuchumi na wenzetu wachache mliopata good exposure ikawafunua kuona mbali na licha ya kuwa mko ughaibuni kwenye brain drain lakini sasa mko tayari kulisaidia taifa. Thanks for that.
Coming back to the point, -
Trade and Service Marks Act, The patent rights and The copyrights and Neighboring Rights Act,1999 haziwezi kukusaidia kupatent idea yako. hakuna copyright ya idea Tanzania.
The only thing you can do ni lazima uandike paper au kitabu kuhusu hiyo idea yako. hilo andiko unaweza kulipatia copyright under Interlecture Property Act kwamba ni mali yako. Then seek oudience with waziri wa utalii ama rais mwenyewe. wasilisha andiko na naamini litakubaliwa.
Mkapa alilikubali wazo la Prof.Hernando De Sotto wa Peru.Akamwalika kuja kufanya presentation Tanzania kwa cost ya Dola 1m. Jamaa akaja, akamwaga sera, tumezikubali ndio tukaanzisha MKURABITA.
Fanya mambo Mzee, sio mpaka wazungu tuu.
Kaka unanifurahisha, at least unatafuta ufumbuzi, sio kama wengine wanahoji hata bila kutafuta au kujua solution.
 
Huyo ndo Mengi. ukimwona hivi kwa usoni utadhani ni mtu mwema sana lakini mh!!!!!!!!!!!!!!!
Bado umasikini wenu wa fikra na chuki mnaamini ni mtaji?Mengi siku zote atakuwa ktk sayari nyingine, wakati vichwa vyenu vinapiga kutu ya chukiza kikabila,kidini etc.
 
Watu wenye kudownload windows xp sp3 kwa bure na patent ni vitu viwili tofauti. Sisi tuendelee hivihivi mpaka mwisho wa dunia.
Ndio maaana microsoft nao wakaachia loop ili muwe watumwa na mtumie products zao zaidi na mwisho muwape faida kuliko.Cha kufurahisha ni kwamba anayeamua kuiba ,ni mchoyo na mlafi na hivyo kuwa km teja zaidi.mwisho wa siku unawalipa zaidi microsoft kuliko aliyenunua na kuona uchungu wa hela.Yeye kila kitu atafanya baudget.
 
Swalii langu lilikuwa linahusiana na hayo yote.. ya copyright, trade mark na patent... We'll see... bado kuna vitu vingi vya kujaribu
So far duniani kote hayo ni mambo very expensive kwa wanaoanza ila kwa Tz ndio mbaya kabisa.Tanzania kwenda kuomba mkopo bank halafu ukaandika business plan makini na ya wazo kamili utakuwa umejidanganya na lazima ukose kabla hujasikia akina Azam na wengine wanafanya, TZ kuapply kwa patent wanasheria wenyewe ni vimeo,wataishia kukukatisha tamaa au kukubadilishia contents km polisi wanavyoahibu kesi kwa kuandika wanachotaka km walivykariri wakidhani ndio sahihi kumbe kesi ikifika mahakamani inakuwa imepoteza ground au kesi ya msingi siyo iliyofika.Mwishowe patent inakuwa droped au hata kutoweza funga milango parallel idea. Hapa bongo ni bora kuanza na wazo lisilo rasmi, kopa hela kwa project ingine halafu hela ukatumie kwenye ingine kisha ukishapick na ndipo una apply hiyo mambo_Otherwise ficha mbinu in such away ktk ni tech basi atakayeiga atakhitaji wewe km mtaalamu.In fact bank hawatoi mkopo kwa wazo na nimewauliza sana kwanini watake business Plan wakati collateral wanayotaka ni ni assets ambayo ni many time zaidi ya riba na mkopo wake?Dunia nzima watu wadogo huweka mbwembwe ktk ubunifu ili kufanya iwe ngumu kwa wahuni wenye pesa kuiga na hivyo kuweza fanya kwa muda mrefu kabla hawajawa na hela ya kuweka patent au kupata nguvu ya ushindani ambayo hata mtu akiiga bado haweza kupunguzia kitu.
 
Well, if you have patented the idea (here in the US) then tell us what it is.....usilete mambo ya patent pending....
US huwa patente zao hua apply km ni za dunia, km wanavyofanya ktk games km American football,baseball and the sort bingwa wao huita bingwa wa dunia.
 
Never got a satisfying response... nimeishia kupatent hapa hapa US...
Hongera ku patent idea yako US, vipi kuhusu application yake na implementation?.
Hapa nazungumzia uzalendo kwa watu wenye exposure, baada ya wazungu kuwafanyia brain drain, angalau wanacho cha kurudisha nyumbani which has something to do with brain and national development besides bringing back home the dollars.
Paskali
 
Hongera ku patent idea yako US, vipi kuhusu application yake na implementation?.
Hapa nazungumzia uzalendo kwa watu wenye exposure, baada ya wazungu kuwafanyia brain drain, angalau wanacho cha kurudisha nyumbani which has something to do with brain and national development besides bringing back home the dollars.
Paskali

In a long term,brain drain wasn't a bad ideally as initially thought. Many expats from the third world pay back their dues not only with hard currencies but also with experience and expertise.
 
Back
Top Bottom