How do you know someone loves you?

Hapa hamna cha kuchangia! Mtoa maada, nakushauri anza tena plz.....
 
Mtoa mada mwanamke akisha kupenda, we tazama vitu vitatu muhimu sana.

1-Anajitahidi sana kuwa karibu sana na wewe.

2-Kila akiwa na wenzake basi lazima akusifie kwa kukutaja taja jina lako, na lazima utafikishiwa ujumbe na rafiki zake.

3-Siri kubwa usiwambie tu, asipo kuona anakuwa hana raha
 
How do you know someone doesn't love you?, then the opposite is the case!
 
daah perhaps labda though his altitude toward you.
Karibu sana jf,
Jitahidi kuandika vizuri wengine humu tumezeeka na kiinglishi cha fb kinatupiga chenga sana!
Inawezekana na ugeni pia ila usijali taratibu utapaelewa tu,
Ruadia topic yako kwa kiswahili ili nami nielewe na kuchangia!
 
fazaa, kuanzia leo nakuchukia kwa hii post

Mtoa mada mwanamke akisha kupenda, we tazama vitu vitatu muhimu sana.

1-Anajitahidi sana kuwa karibu sana na wewe.

2-Kila akiwa na wenzake basi lazima akusifie kwa kukutaja taja jina lako, na lazima utafikishiwa ujumbe na rafiki zake.

3-Siri kubwa usiwambie tu, asipo kuona anakuwa hana raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom