How Do You Handle Relationship During Financial Crisis?

social life haina formula.
Ingekuwa na formula watu wasingehangaika na mahusiano.

Hakuna magazijuto wala marking scheme, cheza unavyoweza as long as patina wako anaelewa beat unayocheza.
 
social life haina formula.
Ingekuwa na formula watu wasingehangaika na mahusiano.

Hakuna magazijuto wala marking scheme, cheza unavyoweza as long as patina wako anaelewa beat unayocheza.

aseeee....
Mimi ni marking scheme yako ujue!!!
 
Acha nadhan wanawake ndio watoe majibu maana relatioship nyingi zinavunjika when m/me akifulia yani migogoro vituko vya m/mke mpaka mnaachana na yeye anaenda kuwinda mwingine mwenye hela anakuacha unaugulia peke yako,siku ukizidaka anaanza kufuatilia na kukusumbua mrudiane daaa hawa watoto wa kike bwana achaaaa tu,fedha kwanza
 
uwezo wa relationship kuhimili crisis whether financial or otherwise unategemea msingi ambapo relationship hiyo imejengwa... kama imejengwa kwenye msingi wa mshiko na starehe, definitely mshiko ukikata lazima relationship itayumba tu
 
tts my best time coz hapo ndo najua kama ana real love or not.namwambia ukweli kuwa hali yangu si nzuri na inabidi anivumilie......mwanamke anayekuvumilia wakati huna kitu ndo mwanamke anayefaa
 
Km relation yenu imeshikiliwa na upendo wa kweli wala ctuation km hiyo haiwezi kuteteresha mpnz yenu,na mtakuwa na wakati mzuri kushirikiana kukabiliana na hali hiyo,but km mapnz yenu yameshikiliwa na pesa basi ctuation hiyo ndio itawapelekea kila mtu kubeba mzigo wake na ndipo mahusiano hutawaliwa na ugomvi,malalamiko na mapnz kufa na mwisho wa siku watu huachana!
 
Hapo ndipo somo la uvumilivu linapotakiwa,
Kama mwenza wako alikuwa ameingia kwenye mahusiano kwa tamaa ya vile ulivyonavyo ,tegemea mahusiano kuyumba ,kwenda mrama na hatimaye yanaweza kuvunjika kabisa kama sio kwa msaada wa mwenyezi mungu
Lakini kama mwenza wako aliingia kwenye mahusiano kwa upendo wa kweli ,tegemea suport kubwa sana toka kwake
Kwanza atakuwa mshauri mkubwa kwako ,kukupa moyo wa uvumilivu mpaka hapo mambo yatakapokuwa mazuri tena
 
Ikiwa uhusiano wenu unategemea pesa, basi you're in trouble. Kama ni ya dhati I don't see a problem, people need to adjust with the situation.
 
Go for second wife, don't get me wrong the second wife does have some positives....I believe it's 2nd strikes ndo inaweza ku kuondoa kwenye financial crisis, kama una mke mmoja :biggrin:
 
Back
Top Bottom