Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,844
- 2,665
wadau natumia simu ambayo inasapoti WI-FI. Sasa niko sehem ambayo hii wireless local area network is detected on my phone (e72). Sasa how to go about surfing the net via this WLAN?
Inabidi ukonnect hiyo wireless network thn ur ready to go....
kuna njia nyingi ya kwanza ni bonyeza menu then connectivity then tafuta wlan ukiipata bonyeza option utaona pameandikwa start browsing then click itakuredirect kwenye built in web ya simu
pindi ikikudirect simu automatic inatengeneza access point ya hio wireless in case hata kama ni ya key next time haitakuuliza key
so kama umepata access point ya wlan yako unaweza tumia applicatiom kama opera, ucweb whatsap kwa hio access point.
Kama unaona unapata tatizo la simu kukumbuka wireless access point ujue signal za hio wireless zipo low
Hiyo access point imefungwa na password sio free access ukitaka ifunguke lazima ujue jina lake na passwordnimejaribu kutumia na inafika hatua inahitaji network name. Hapo nakwama kuendelea. Pia sijajua how naweza tumia browser kama opera bila kulazimika kutumia built in